30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Com. Wambua: Bwana Numa kidogo tafadhali, nimeangalia hiyo memorandum umetupatia, and page 6 ni kama unataja

unataka PC awe governor of the region, na DC unasema, no replacement, DO pahali pake pachukuliwe na local authority.

Nikusema kama hutaki Provincial Administration iendelee.

Gideon Ngumba: Provincial Administration, wakati Kenyatta alikuja, akapata ndio walikuwa wakitutawala na Mzungu.

Akawaweka nguvu sana. Mambo ya rigging hii, mimi nimekuwa na hawa. Mambo ya kuiba kura za watu, ni Provincial

Administration. Kuharibu kazi ya watu ni hawa. Hatuwataki, tunataka hata PC sio PC. Region ichaguwe watu. Wakuwe na

Chairman governor. Governor awe wa kuchaguliwa. Hiyo ya mtu kwenda State House, kutengeneza sifa, unaona hapo bwana

Commissioner? Tusema uhuru ni kupiga kura. Tumekupigia kura, umekuwa President, unatakiwa kuwa na watu wako wa

mlango yako. Unawambia endeni kule Kiambu, mpige fulani mharibu fulani kwa hivyo ningetaka watu wote...

Interjection -Com. Wambua: Tafadhali nilikuwa nataka kujua, PC ataondolewa ama atakaa? Aondolewe?

Gideon Numa: Nasema sisi tuwe na governor, PC atolewe kabisa na hiyo ikuwe dismantled kabisa. D.O kuwe na local

authority, kila division na chairman achaguliwe na watu.

Interjection- Com. Wambua: Na chief?

Gideon Numa: Aondolewe kabisa.

Com. Wambua: Haya, kitu kingine page 9, Electoral Court. Umesema hapo, unataka kuwe na electoral court, divided into

four courts which should consist of three judges. Swali moja na usieleze sana. Nataka kujua, hii electoral court itakuwa

permanent court ama itakuwa tu inaundwa wakati kunakuwa na petition.

Gideon Numa: No, ni majaji tu kuwekwa ili wawe tayari. Kwa sababu kukiwa na Constitution, kama tuseme local authority

wanataka kuchukuwa shamba langu, ni lazima niende kortini ya Constitution. Ile itajua nina shida gani? Kwa hivyo, jaji

atakuwa akiangalia mambo, tukikosana na local authority, ama serikali mahali gani tunaenda.

Com. Wambua: Kwa hivyo itaundwa wakati kuna petiton peke yake, ama itakuwa permanent?

Gideon Numa: No, wacha tu iwe permanent.

Com. Wambua: Permanent. Okey asante sana. Thank you very much Bwana Numa. Tunataka kumuita Ruth Wambui

Njenga.

12

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!