12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

32Twaomba serikali itoe hati za kumiliki sehemu hii kwa haraka iwezekanavyo, ili kuzuia wale ambao wenye kuvamia sehemu hiziamabazo zatumika mbeleni.Pia kuhusu wanawake, nilikuwa na pendekezo hilo hilo wapewe ruhusa ya kutosha punde tu waume wao wamefariki ambayosisi Waislamu hatupewi kuna baadhi ya wanawake wenzetu wamekosa kazi kwa mambo kama hayo, ambapo si haki kukosakazi kwa mambo ya kufiliwa.Lingine, kuna sisi wanaume baada ya mtu kutokana bibi yake, huacha watoto. Kwa hivyo twaomba katika katiba hiiinapoundwa tuwe na kifungu kuwa mzazi wa kiume mwenye kutupa watoto ashitakiwe. Kwa sababu, hii ndio huleta mambomengi sana mabaya kwa na watoto - - wakiwa hawasomi au wanapatikana kwa uhalivu.Lingine ni kuhusu mambo ya upeanaji wa vyeti: kitambulisho, Passport, na karatasi ya uzazi. Hizi zitolewe pasi na mashartimarefu kupitia. Kwa sababu nikiwa mimi tayari niko na kitambulisho, si tayari ni M<strong>kenya</strong>? Kwa nini mtu aniulize kitambulishocha baba na mama? Ina maana sikupewa hati kama hizo, basi si M<strong>kenya</strong>. Ikiwa si M<strong>kenya</strong>, kitambulisho nilipata vipi? Kwahivyo hii serikali yenyewe yajizuia huku yajifunga huku. Kwa sababu wampa mtu kitambulisho kisha baadaye wamuulizamaswali marefu, ina maana kwamba wewe kutoka mwanzo yamefanya makosa. Kwa hivyo kama mtu ana kitambulisho basikitambulisho kitoshe, na apewe hati zingine bila masharti yeyote.Katiba mpya tunaomba ikifaulu, serikali yenyewe ina mambo ya lazima yafanye kwa wananchi, na serikali yenyewe hutoa ahadina ikapitishwa kuwa jambo fulani lifanyike, lakini tu.(inaudible) Kwa hivyo wananchi wenyewe wapewe uwezo ili serikali piaishatakiwe. Serikali inafaa kushtakiwa, ashitakiwaye si mtu tu amekosa. Mfano kama vitu muhimu kama: elimu, afya, maji,usalama, serikali lazima itoe. Kwa hivyo punde tukikosa haya serikali lazima ishitakiwa itoe huduma kwa wananchi.Pia kuna shirika lililoundwa la Anti-corruption unit, lakini hili tunajua <strong>of</strong>isi zake sana ziko Nairobi peke yake. Kwa hivyotwaiomba katiba mpya ikianza, hii unit pia iweko katika kila baraza. Kwa sababu mwananchi hufanyiwa dhuluma namfanyakazi wa serikali, na akawa hajui mwananchi aende wapi. Kwa sababu polisi imefilisika, sasa utashtaki wapi? Na pengineni yeye polisi basi hatuna pa kwenda. Kwa hivyo twataka unit ya Anti-corruption pia iwekwe hapa kama serikaliimenidhulumu,niweze kwenda hapo unit. Lakini kuwekwa huko Nairobi, sisi wengine tunaumia huku. Kwa hivyoAnti-Corruption unit iwekwe kila location.Kuhusu Bunge – Bunge letu twajua kulingana na katiba tuliyo nayo, Rais ndio atasema sasa Bunge liishe au liendelee. Kwahivyo hiyo hatutaki. Twataka muda ambao uko tunajua, ukisomeshwa shuleni tunajua, muda ni wa miaka mitano. Kwa hivyoubakie huo huo muda wa miaka mitano, likianza paka limalizike. Hatutaki Rais aseme Bunge miaka mitatu limeisha, au Bunge nimiaka sita au ni miaka tano. Kwa hivyo muda liowekwa, ukifika, Bunge limalizike.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!