12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

54Topic ya pili – Hawa youth walikuwa na maoni kuhusu elimu. Number one: walipendelea kuwa elimu ya msingi iwe bure naserikali ichukue mamlaka ya kutoa vifaa vyote vinavyohitajika kwa mfano - - text books, exercise books and games items.Number two: shule za msingi katika sehemu za Waislamu ziwe na kipindi kimoja tu, that is, iwe na one session. Number three:masoma yapunguzwe katika shule za msingi. Number four: mfumo wa elimu urekebishwe badala ya 8-4-4 iwe 7-4-2-3.Number tano: fees zipunguzwe siwe za kiwango cha chini. Number six: Katiba ichukue jukumu la kuwaajiri wale waliomalizakidato cha nne. Number seven: Katiba ichukue majukumu kutoa mafunzo ya Vyuo Vikuu, i.e colleges bure, na pindiwanap<strong>of</strong>uzu kipindi cha kusoma kwao wapewe kazi bila kuchelewa. Number eight: Katiba ihakikishe kuwa watu wanaoopatanafasi ya vyuo vikuu, that is university, wasome bure na walipe garama baada ya kupata kazi. Haya yalikuwa ni maoni ya youthkuhusu elimu na uraia. Shukrani.Com. Mosonik : Nataka kuuliza,Halima amesema shule (inaudible). Hujatueleza kwa nini.Halima Dido: Walikuwa wanapendelea kuwa shule za msingi katika sehemu za Waislamu ziwe na kipindi kimoja tu, that isone session. Walikuwa wamenieleza kuwa, saa hii wanaenda shule kutoka za mbili mpaka saa sita na nusu. Sasa walikuwawamesema kutoka saa nane mpaka saa kumi. Hiyo section ichukuliwe na masomo ya kidini. Kwa hivyo itakuwa ni shulewamesoma kwa kipindi kimoja tu cha ukufuru. Asante.Com. Mosonik: Umesema wabadilishe mfumo wa 8-4-4 warudie ya zamani. Sasa swali, tunarudi nyuma ama tunaendambele?Halima Dido : Hii walikuwa wamenielezea ya kwamba. Hii system iliyoko sasa ni ya miaka minane primary school, miakaminne secondary school, halafu miaka minne university, if I am not wrong. Sasa walikuwa wamesema iwe 7-4-2-3. Kwasababu ikiwa hivyo, hapa hali ya masomo itakuwa inapanda kila wakiendelea mbele.Com. Mosonik : Pengine nataka ueleze kwa sababu 8 + 4 = 12 and 7+4 =11 + 2 =13 + 3 = 16. Yaani kwa system hii nikwamba watoto watasoma miaka minane na tena Chuo kikuu watasoma miaka minne. Kwa maoni yangu binafsi ni kwamba niafadhali chuo kikuu wasome miaka minne kuliko miaka mitatu. Kwa hivyo masoma ya juu, lakini tuna -----(interjection which is inaudible)Halima Dido : Iko Faza location, yaCom. Mosonik : Sasa tuelezee majina halafu uendelee.Ahmed Hassan - Kwa majina mimi naitwa Ahmed Hassani na ni mwalimu. Jana tulikuwa na discussion na wakatoa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!