12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

63kwa huyo mkutano, kusema kama hakutosheka vile tumeandika, yeye aseme kwa mkutano wa taifa. Tena kila district, itakuwana waakilishi watatu, mmoja lazima awe ni mama. Kwa hivyo tunaweza kuanza wakati huu kutafuta mama yule ambayeanaweza kuongea. Kwa ajili kwenda kwa hiyo conference ni kama kwenda Bunge. Ni kujadiliana na ndio yule mtu ambayeanaweza kuongea ndio anatakiwa aende. Tusiseme tu mama kwa ajili anapendwa area hii, yule mama ambaye ni sharp kabisakwa kuongea. Mama mmoja, kati ya hawa watu watatu, mmoja anaweza kuwa councillor.Kama councillor ni mmoja wasizidihio nambari, na mtu mwingine wa tatu, watu watatu yaani jumla ni hawa wataenda kwa Conference. Mnaweza kupatia maonihao watatu, kuwaeleza wachunguze kwa makini kama maoni yenu yamewekwa kwa katiba.Sijui kama Lamu district, is it a new district ama ni ya zamani?(Answer from the floor: Ni ya zamani)Kwa ajili kuna kesi kortini sijui kama mnajua? Kuna MP wa Kangema anasema kwamba kuna wilaya zisizo halali, ziliundwakinyume cha Katiba. Kwa maoni ya huyu mheshimiwa, hawa watu wasihudhurie Conference - - sio wajumbe wao walawaakilishi. Kwa ajili anasema haya yote yalifanywa kinyume cha sheria. Lakini kama district ilikuwa tangu mwanzo, nyinyihamna shida, bora mtume hao watu watatu - - Yaani MP halafu watu watatu waakilishi wa district.Halafu tena kuna waakilishi wa vyama vya kisiasa ambavyo vilikuwa vimesajiliwa mwezi wa kumi mwaka wa elfu mbili. Sasavyama ambavyo viko area hii, wajumbe wa hivyo vyama, wataenda tena kama waakilishi wenu. Mnaweza kupitisha maoni tenakwao.Halafu la mwisho ni kwamba mtakuwa na waakilishi wa civic society: makanisa - dini ya kiislamu, wakristu wa dhehebu t<strong>of</strong>autit<strong>of</strong>auti, vyama vya akina mama, NGOs na kadhalika. Kwa hivyo maoni yenu hayataishia hapa munaweza bado kuendelezampaka kwa hiyo Conference.Kama kwa Conference tutakuwa na kut<strong>of</strong>autiana kwa maswala ya ki-Katiba: Tuseme maneno ya akina mama (vile huyu jamaaalisema) pengine yataingizwa kwa Katiba, lakini akina mama waseme yawekwe ukurasa wa kwanza, na wengine wasemeukurasa wa kumi, lakini wamekubaliana kwamba yawekwe hayo yataamuliwa kwa kupiga kura, yaani simple majority. Lakinimaswala ya ki-Katiba, kwa mfano 30% ya wabunge wawe akina mama ama la, au tuwe na serikali ya majimbo ama la. Sasakama hawatakubaliana kwa Conference kutakuwa sasa na kura ya maoni, kama hizi kura za uchaguzi mkuu. Lakini sasaitakuwa ni maswala matatu manne kwenye makaratasi kwa mfano: Je, Kenya iwe na serikali ya majimbo? Na inasema yes orno, muweke X. Kwa hivyo tena wakati huo maoni yenu lazima muyaseme. Hivyo ni kusema uwe tayari kupiga kura baada yakura ile ya kawaida, ama kabla ya hiyo kwani sijui itakuwa lini.Kwa hivyo muendelee kuyafwata kwa makini hayo mambo, na musikie vile provinces zingine wanasema, ndio mujue kama

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!