12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

38na umri wa miaka 35 mpaka miaka 60, sio mtu akalie kiti tu. Awe ni mzaliwa wa Kenya wa kuzaliwa. Awe na elimu yakutosha kiwango cha degree. Awe na afya nzuri asiwe na kilemu. Mtu mwenye sifa nzuri asiwe na makosa ya aina yoyote.Awe amekuwa Mbunge kwa vipindi visivyo pungua miaka miwili. Awe na kiwango kikubwa cha pesa zinazojulikana. Sio Raisawe maskini. Awe na kiwango cha pesa ambacho kupitia kwa statement za bank, atathibitiwa na zitatangazwa. Rais awe nakiwango maalum cha uongozi. Awe kwa kipindi kimoja cha miaka mitano. Baada ya kipindi Rais abadilishwe kwa majimbot<strong>of</strong>auti, t<strong>of</strong>auti.Com. Mosonik : Asante. Peleka memorandum upande ule mwingine, please. Asante kwa memorandum hiyo, tumsikize,please Zakaria Omar – Muslim Imams – Faza.Zakaria Omar : Salaam Aleykum wa rahamtulilahi wa barakatu. Mimi nitatoa maoni ambayo pia yametolewa kwa wingi lakinikidogo pengine nitakuwa na mazidisho.Ningependa kuanza na Kadhi – Nasema Kadhi achaguliwe na Waislamu, Mashehe na maimam. Lazima awe na elimuyakutosha: amesomea sheria ya Kislamu kutoka Chuo kikuu cha Kislamu kinachotambulika. Mahakama ya Kadhi igawanyikesehemu mbili: yaani igawanyike mahakama ndogo, Kadhi’s subordinate na vile vile igawanyike sehemu ya pili ikiwa ni HighCourt, mahakama kuu ya Kadhi. Iwekwe kamati maalum ya masheikh ya kuwafanyia mtihani wa ukadhi wanaotaka Kadhiachukue ukadhi.Lazima achunguzwe: miendo yake, tabia yake ni nzuri, hakushikwa na makosa makubwa, makosa ya jinai, vile vile awe ameoa.Kuna makadhi wengine watafuta wanawake ----kwa hivyo inalazimika awe ameoa. Umri usipungue miaka thelathini. Aweanajilazimisha na mambo ya ibada, si kwamba ajilazishe lakini hatumuoni kama anasubiri kwenye ibada. Awe ni (inaudible) vilevile awe anajishugulisha na mambo ya Uislamu. Awe akijishugulisha na maendeleo ya Kislamu. Ahukumu kwa kitabu(inaudible) wa suna torati kumi, kitabu cha Mwenyezi Mungu ni Qurani na sura ya Mtume inajulikana, kwamba ni hadithi sahihiya Bwana Mtume (P.B.U.H).Pia iweko Kadhi Court <strong>of</strong> appeal. Huu uwe ndio mwisho wa court na isirudiwe tena kupelekwa mahali pengine popote. ChiefKadhi lazima awe anakitumikia ukadhi kwa muda usiopungua miaka kadhaa. Kwanza awe Kadhi akishafanya miaka kadhaa,kisha achaguliwe kuwa Chief Kadhi, kwa sababu awe na uzoezi wa hii kazi ya Chief Kadhi. Au awe ametumika kwenyemaktaba ya kadhi. Kadhi na Chief Kadhi wahusike na kutoa hukumu tu peke yake, na kutoa repoti. Mambo mengineyasimamiwe na kiongozi aliyechaguliwa na Waislamu. Wasaidizi wa Kadhi, wanaosadiki ndoa na kadhalika. walipwemshahara.Hukumu ya ndoa na talaka zihuusike kwa Kadhi, badala ya kwenda kwa hukumu ya kanuni yake.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!