12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

62kama hadithi. Kwamba ninyi watu wa hapa malikuwa na civilization yenu na malikua hapa tangu zama za kale. Unajua sisiwatu wa Bara tukija hapa hatutakiwi kusema Kiswahili sana, tunaogopa kidogo. Lakini ile historia nimesema kuhusu hapa nikweli, hata mimi ninajua. Kwa hivyo njia ya kuthibitisha ayo ndio inatakiwa sasa Katiba iangalie na iatengenezwe.Kitu kingine ni kwamba sisi tumekusanya maoni leo, na tulisema baada ya hapo, tutazunguka Kenya nzima, mkawa number twokwa mikoa. Tulifwata herufi za alphabet Kingereza, kama: a, b, c, d---. Sasa tukaanza na Central, tukaja Coast, tutaendaEastern wiki ijayo, halafu Nairobi province, baadaye, North Eastern, halafu Nyanza, halafu Rift Valley, tunamalizia WesternProvince, pengine mwanzo wa mwezi wa nane. Kwa hivyo nyinyi mmefanya yenu vile ilitakiwa kutoa maoni hapa.Tutakusanya maoni kwa mikoa yote, kwa kila Constituency, halafu tutalinganisha ndio tujue mahitaji ya Wa<strong>kenya</strong> wote. Lakinimfahamu kwamba baada ya kuandika hicho kitabu, Katiba mpya, tutaenda kwa mkutano wa taifa wa kurekebisha Katiba.Vile tulikuwa tumesema. Huu mkutano unaitwa National Constitutional Conference. Kabla ya kwenda mkutano huo tutoareport yetu.Report kuhusu vile tulifanya kazi: tutasema tulikuwa Faza, tarehe mbili, mwezi wa tano. Tukawakuta wananchi, ndio tulikuwatukisema mujiandikishe wote hata wale observers waseme walikuwa hapo. Tutaandika report itakayokuwa kitabu kikubwa.Halafu tuseme, kulingana na report vile wananchi walisema, sasa tunafikiria kwamba Katiba iwe namna hii.Hiyo Katiba itakuwa ni recommenation ya Commission kwa conference. Tukiwa tumeyatayarisha maoni, tutayaweka kwaKenya Gazette. Kwa mfano kwa maneno ya harusi ya kanisa ya Kikristu wanasema kuna siku 21 ambazo zinawekwa kwaukuta. Sasa mtu yeyote ambaye ana chochote cha kusema, aseme, ama sivyo, for ever asiseme, mnajua. Kwa hivyo hatatukiwa tumeiandika hiyo report yetu na Katiba ile mpya, tunasema: kwa maoni ya Tume, vile raia walisema, tutaweka kamaGazette Notice. Inatakiwa kwanza ziwe siku sitini, hiyo Gazette Notice. Hivyo nikusema mnapata nakala ya report, namnafungua page yenu, ukurasa, pengine ni mia saba hivii mpaka mia saba na nane, kuhusu hapa, muone kama ni kweli tukisematulikusa hapa tarehe mbili ama tulisema tarehe kumi. Mnacheka? Halafu mnaangalia vile tumeandika kama inalingana na maoniyenu. Ninasema mtasoma kwa siku sitini lakini pengine itafupishwa nathani uwe mwezi moja.Kama ni mwezi moja ama ni miezi miwili, Co-ordinators na wale waalimu wote watatakiwa warudishe hizo nakala hapa,musome hapa tena – round nyingine ya civic education. Halafu ilitakiwa kwamba sisi turudi tena Faza lakini haturudiconstituency, tunarudi kwenye mikoa. Kama sasa tutakuja Mombasa kwa watu wa Coast Province. Mkiona tulikosea kabisa,mnatumma mwakilishi wenu, ama waakilishi waje Mombasa waseme nasi. Waseme: kweli muliandika report tarehe ndio hiyohiyo, lakini yale tulioyasema mumekosea, pengine hiyo itatolewa.Lakini baada ya haya yote tunaenda kwa mkutano wa taifa, na tulisema wajumbe ama watu watakaohudhuria watakuwa niwatu kama mia sita, kaki yao ni wajumbe wote, all the MPs. Kwa hivyo mjumbe wenu anatakiwa awe kama watchman wenu

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!