12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

61wenzangu hapa wote kutoka kwa Tume la Kurekebisha Katiba ya Kenya, nawashukuru sana, sana, kwa kuhudhuria kikao hikicha leo, kwa kutoa maoni yenu kinaganaga. Tumeyasikia kwa makini, tumeyaandika mnaona vizuri nime andika mimi. Ashahapa anaandika shorthand. Tunaweka tena kwa hii tape, na machine yenyewe iko pale. Kwa hivyo, tumeyasikia kwa makini,tumeyachukua. Tutayawasilisha kwa Tume tukirudi Nairobi.Tumewashukuru, tena mumesikia kwamba sisi hatukuwa tumekuja area hii hata mmoja.Hakuna mmoja wetu amewahi kuwaarea hii. Sasa tumefurahi tena kwa kujua area hii. Nitaomba Bwana DO wa sehemu hii to give a vote <strong>of</strong> thanks, halafututaalika mtu mmoja atufungie kwa maombi.Bwana DO : Asante sana Dr. Arap Korir. Ningechukua hi fursa kupeana shukurani zangu kwa Commissioners wote, wageniambao waliandamana nao, kuja kututembelea Faza Island, ambayo Faza na Kizingitini. Mmekuja kwa Waswahili, naWaswahili wenyewe walisema: mstahimilivu hula mbivu. Nimejua mlitoka Lamu asubuhi, mkapambana na amri ya maji, kwasababu hilo ni tegemeo letu. Na mimi kwa niaba ya wananchi wa Faza na Kizingitini, ningependa kupeana shukrani zangu kwahiyo kazi yote nzuri ambayo mmefanya. Wananchi wametoa maoni, na mpaka saa hizi tunaangalia Commissioners wangali hapainfgawa sasa maoni yameisha. Nafikiria wakati wenye mtakua na safari zenu, mkienda sehemu zingine, nimejua kesho mko najukumu la kwenda Kiunga, lile lenye nitasema ni kwamba muwe na safari njema. Nimejua ni mara yenu ya kwanza kuja Fazana Kizingitini, msiogope maji. Wakati mwingine mtembee muje tukae na tukule vile sisi wenyewe Waswahili huku tunakaa .Shukrani zangu za pili, zimeenda kwa wananchi wenyewe wa Faza na Kizingiti. Unajua usafiri ni wa shida, lakini tumepatamaoni kutoka Faza, Siu ambavyo ni vijiji vilivyo mbali. Kwa huo uvumilivu wenu, nasema asanteni sana.Shukrani zangu za tatu zinaenda kwa kamati ya Katiba, Lamu East, kwa hiyo kazi yote nzuri wamekuwa nayo kuanzia civiceducation, mpaka pale tumefikia. Hayo yote yamepitia kwa maoni ya wananchi. Yaonekana ile kamati pia, ilifanya kazi nzuri.Shukrani zangu zinaenda kwa Provincial Administration, ambapo tuko na chiefs na assistant chiefs, kwa facilitation ya hiimeeting. Tuendelee na hii kazi nzuri, na ninafikiria pengine tukiendelea mbele tusiangalie maswala ya malipo bali tujenge Kenyaambayo ni nzuri na itakuwa ni nzuri kwa vizazi vijavyo.Shukrani ya mwisho inaenda kwa headmaster, Faza Secondary, kwa kutukubalia kufanyia mkutano wetu wa Katiba, wahiiTume ya Katiba, hapa kwa shule yao.Kabla sijamaliza, ningependa kuita Dr. Arap Korir aongee neno moja ili tufunge mkutano.Com. Dr. Mosonik Arap Korir : Nakumbuka nilisema kua mimi hufunza historia kwenye Chuo Kikuu. Kusema kweli,tulikuwa tumesoma tangu mwanzo wa shule halafu tukaanza kufunza katika Chuo kikuu historia ya sehemu hii, na tunasikia

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!