12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

44memorandum. Nitasoma mapendekezo kurekebisha Katiba ya Kenya.Nitaanzia na sehemu ya Uraia – Number one : atakayekuwa raia wa Kenya bila swali ni yule ambaye amezaliwa Kenya kwababa na mama. Two: utoaji wa uraia wa Kenya ufwate taratibu ile ile ya kawaida, yaani kwa kuzaliwa, kwa kuandikishwa nakwa jinsia. Waume na wake wawe raia wa Kenya, bila ya kuzingatia jinsia wapewe uraia wa kuandikishwa. Mtoto aliyezaliwana mzazi mmoja ambaye ni raia wa Kenya, bila ya kujali jinsia ya mzazi huyo, apewe uraia bila kwazo. Raia ana haki zote zakimsingi: kama kuishi salama, na haki ya-----na ana jukumu la kulinda na kutetea nchi yake. Katiba isiruhusu raia wa nchi mbilidirect. Wa<strong>kenya</strong> wawe na vitambulisho vile vile vya kawaida iliyoko sasa.Kitu kingine kilikwa ni kuhusu muundo na aina ya serikali – Wananchi wa Pate location waliamini wakajadili kuhusu aina yaserikali ambayo iliyoko. Na kwa zaidi wao wanapendelelea kufwata muundo wa serikali ya Majimbo: ambapo mamlaka ya nchihii na Bunge, yatagawanywa baina ya serikali kuu na serikali ya Majimbo, tukiwa na kura kubwa ya serikali. Tatakuwa naBunge yetu kujimulia mambo wenyewe, kulingana na jimbo letu. Two, tunaendeleza uchumi wetu. Three, nafasi za kazi kwawatu wetu zitapatikana. Hatimaye kwa wazee wangu, tulitependelea pia baina ya serikali na majimbo, ama sivyo?From the floor : Ndio.Abud Hamid :wanapendelea serikali ya majimbo.Sawa sawa. Kwa hivyo Bwana Commissioner ningependa kuemdelea na swali la pili, wananchi woteSehemu ingine ni kuhusu mahakama – Uhuru wa mahakama uliyoko kwenye Katiba ya sasa, kiwango cha juu cha mahakama nimahakama ya rufani. Tukifikia hapa, hatuhitaji mahakama kukaa zaidi ya hiyo. Two, maafisi wa mahakama wateuliwe nakamati zitakazoundwa na Bunge katika serikali kuu. Three, Kadhi mkuu na Makadhi wateuliwe na baraza la Ma-Imam, kwanjia ya kutahiniwa kwa sakafu. Wakishapita mtihani, baraza la Ma-imam litapendekeza majina yao kwa serikali, kuwa ndioma-Kadhi wameteuliwa. Kwa sababu ya kazi Kadhi lazima watumize masharti yafwatayo: Kadhi Mkuu – lazima aweanadumu na makadhi kwa kipindi kisichopungua miaka kumi, awe mwaadilifu katika kazi, na elimu ya kutosha. Makadhi:lazima wawe na elimu ya kiwango cha kidato cha nne angalau, wawe na cheti, wawe na elimu ya dini ya kutosha - - haswakwa upande wa kurhani na kadhalika kuhusu mambo ya dini - - wawe na tabia nzuri na uadilifu.Fungu No.5, Kuhusu Mahakama: Mahakama ya Kadhi ishugulikie makwaza ya ndoa, talaka na urathi, na haki za watoto.Wawe ambao wa kike, wakawa Waislam, hawa watoto wakiwa wadogo, ama wafanya talaka na wanawaacha watotowadogo katika hila za mama zao. Kwa hivyo pendekezo katika marekebisho ya Katiba ya watu wa Pwani, tungependeleakwamba hii nafasi m iongezewe makadhi iwe ni jukumu lao waweze kuhudumia, sio kwamba yapelekwa kwa maafisa wawatoto.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!