12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

53(Inaudible) kama tunavyojua Bwana Chairman, kulingana na serikali yetu ya Kenya inavyoendelea, utumishi wa Uraisutajulikana. Kwa hivyo, nasema Bwana Chairman, kama tunavyojua Bunge la East Africa limebuniwa na wako na waziri.Lazima wanasema wananchi hao watatu - - Kenya, Uganda na Tanzania - - wasiende kupewa Passport, iwe ni ID. i.e ID iwendio passport. Mu<strong>kenya</strong> atikoka hapa kwenda Tanzania, badala ya kuonyesha passport iwe ni ID. Mshaelewa? (Response)Kwa hivyo Bwana Chairman tafadhali naomba kuongeza – Kuwa Constitution yetu ya Kenya baada ya miaka ishirini na tano(after twenty-five years) ifanyiwe upakuzi yaani ipigwe msasa, iangaliwe kulingana na wakati. Kwa sababu ninaenda. Kwahayo asante sana.Com. Mosonik : Kuna kidogo hatukuelewa, ulisemaji kuhusu Biwott?Councillor Walladhu Muhaji: Asante sana Mr. Chairman. Kuwa juzi kulifanyika uchaguzi wa KANU Nairobi, mambo yaleyalikuwa, japo sikuweza kwenda Kasarani Biwott ndiye mfwasi sana, such that we cannot do without him kwa KANU. Kwahivyo ningetaka ku add kwa mabashiriyo yangu kuwa kuna mambo fulani vice-chairmen wale wamewekelewa, lakini huyovice-chairman halisi ni Biwott there.Com. Mosonik : Lakini tusikilizane kwamba hilo jambo haliko kwa maswala ya kurekebisha Katiba. Okay, asante.Councillor Walladhu Muhaji: Okay, asante sana.Com. Mosonik : Okay, sasa tumsikilize kwa ufupi, hebu ufupishe, Haji Chola Walla, yeye akiwa nje tutapata mwingine. Kwasababu kuna Halima Dido, Kuna Halima Dido? Halima Dido yuko na ana memorandum atatupa baadaye.Halima Dido : Asalaam aleykum. Mimi hapa niko na maoni ya youth kuhusu marekebisho ya Katiba. Jina langu naitwaHalima Dido. Na katika topic ya kwanza kuna maoni ya youth kuhusu uraia.Number one : wanapendekeza kuwa yeyote ambaye atazaliwa na wazazi wawili wa Kenya, awe raia halisi wa Kenya.Number two: yeyote ambaye atazaliwa Kenya na mzazi mmoja wa Kenya, awe raia halisi wa Kenya. Number three: mume aumke awe raia wa Kenya, baada ya kuoana ikiwa mmoja wao ni mgeni. Number four: raia apewe huduma zote za kimaishakama vile - -elimu, afya, makao, usalama, chakula na uhuru wa kuzungumza. Number five: raia awe na jukumu la uchungajisheria, kama: kuchunga usalama, kuchunga mali asili. Number six: haki na jukumu ya raia yategemee namna uraiaulivyopatikana. Number seven: raia wa kuzaliwa awe na nafasi zaidi kuliko raia wengine. Number eight: Katiba isiruhusuuraia wa nchi mbili. Number nine,:Wa<strong>kenya</strong> wawe na vitambulisho kwa mfano, kitambulisho cha kitaifa na karatasi yakuzaliwa.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!