12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

8Com. Mosonik : Asante sana. Khadija Shariff kwa niaba ya kikundi aakilisheKhadija Shariff : Commissioners, wageni, mabwana na mabibi, Salaam Aleykum. Naanza kwa utangulizi: ningependa kuwakwenye katiba ianze utangulizi yenye kumfahamisha mwananchi namna.Com. Mosonik : Sasa, please sijui pana shida gani, jina lako, tena utueleze umeandika, unasema kwa niaba ya group, whichgroup is that?Khadija Shariff : Mimi naitwa Khadija Shariff, niko hapa kwa niaba ya Swathinia Women group, Kizingitini.Maoni yangu ningependa Katiba ianze na utangulizi ambao utamfahamisha mwananchi na iwe ni lugha, si ngumu sanakueleweka. Pia sisi Waislamu mwongozo wetu au katiba yetu, tunaongozwa na Quran, ningependa hivyo hivyo mambo yandoa, talaka, urithi, tuendelee kuhukumiwa vile kwa Quran.Upande wa Bunge – Tungependa kuwa Wabunge wawe watahusika kugakua maafisa wa serikali na pia wa mashirika. Kazi yawabunge iwe ni vile vile saa maalum, lakini iwe mbunge atatembelea eneo lake mara tatu kwa mwaka. Wananchi wawe nauhuru na haki ya kumregesha mbunge au diwani kwa kura ya maoni. Na Katiba pia ioneshe tarehe za kufunga bunge, tarehe zakura - - ionyeshe kura zitakuwa lini na bunge litafungwa lini. Na pia tungeomba kwenye bunge waongeze nafasi kwa upandewa wanawake, wapate kuakilisha wanawake wenzao. Walemavu wapate wao kutoa shida zao kama upande wa elimu naupande wa kazi. Vijana wao wapewe nafasi ya kueleza matatizo yao. Watu wa dini wawe na kiongozi kwenye bunge. Piamarginalized group, minority - - wale watu ambao ni kidogo, wapate kuweko kwenye bunge kuwakilishwa.Upande wa mahakama tungependa maafisa wa mahakama wakae mahali kesha miaka mitatu kabla kuhamishwa, kupewatransfer.Upande wa Kadhi: Kadhi achaguliwe na viongozi wa dini na Kadhi Mkuu achaguliwe na Kadhi. Pia tungependekeza kuwe naSenior Kadhi na assistant Kadhi, na Kadhi apewe power zaidi kuliko kwenye Katiba ya sasa, awe ataingilia sio mambo yandoa na talaka na urithi, awe pia ataangalia social problems, mambo ya kuiba na mambo ya watoto, badala ya watu kwenda<strong>of</strong>isini ya watoto. Kadhi pia aruhusiwe kukata rufani.Upande wa Ardhi: tungependelea kuwa ardhi ziwe communal land sio Government land. Wanaume na wanawake wawe nahaki sawa kumiliki ardhi. Na ugawanyaji wa ardhi lazima upitie kwa wazee wa mji. Na tena wale kwenye committee wawe niwatu wa pale pale sio watu wa nje. Kabla Title Deed haijatoka lazima hawa watu wajulishwe. Na ikiwa ni ardhi ya mtu binafsilazima serikali inunue ardhi ile kwa mtu isichukue bure. Ugawanaji wa ardhi utategemea baina ya watu na ukubwa wa ardhi,

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!