12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

60ya kuitamalaki ama ya kuiendesha ardhi kama hii au ulimwengu. Tunaweza kusema kwa jumla, ulimwengu umetamalakiwa namwanadamu. Akitaka kuweza kufwata njia taratibu au ile mifumo aliyowekewa na yule aliyemleta katika ulimwengu huu,hakika yake ni kwamba atakwenda kufaulu, na hapatapatikana kasoro ama umwajikaji wa damu, ama kasumba zote kinyumena taratibu. Mfano wake narudi katika gari: utakapokwenda kuchukua sehemu ya petroli ukaweka maji, ndugu yangu ile garisidhani kama unaweza kwenda nayo.Hivyo hivyo tutakapokwenda kuichukua sheria au mfumo tuliowekewa na yule aliyetuweka katika ulimwengu huu au ardhi hiihapa sasa tulipo, tukaenda kinyume nayo ndugu yangu umehathirika. Mfano mdogo ukaja ukamkosea mtu au ukumpiga k<strong>of</strong>i,pengine maisha yako yawe yakaondoka saa hio hio. Ndugu zangu binadamu, kwamba Katiba ama sheria ni mfumo wa huyumwanadamu atakayeiweka kwa kutumia taratibi zile zile alizowekewa na aliyemueka.Sasa kwa ufupi ndugu zanguni, maana inaweza kuwa ni mbegu kulingana na muda niliyopatiwa ni kidogo - - -.Com. Mosonik : MalizaAli Abdalla : Sasa kwa ufupi naweza kumalizia nikisema, kwamba sheria ya huyu mwanadamu au Katiba, ni ile iliyokuwekotangu hapo mwanzo. Kwa mwanadamu kujihe (inaudible) ni muhimu. Tunafahamu baba yetu Adamu mpaka mtume wamwisho, na karibu wa mwisho nabii Musa, ambayeni Moses, nabii Isa ambaye ni Yesu na Mohamed ndio wa mwisho, hioKatiba ndio ambayo mwanadamu anafaa hifwate.Kwa ufupi, kwa kufungia hotuba, ninapendelea kwamba ule mfumo ama Katiba iliyokuweko - -Mkataba - - udhihirishwe nauonyeshe makosa gani yalioyokwenda kupitika, na ni mahali gani panataka kurekebishwa leo hii. Hapana shaka hio Katibailikuwa iko katika mfumo wamwanadamu atakaoendelea nao, kwamba imekwenda kuharibika ama kukoseka. Baada ya kuwakumekoseka, ni kwa leo hii mwanadamu anataka kuleta - - njia gani mimi niyarekebishe yale makosa yangu? Nayo ni kwambaanataka kwenda kuweka mradi. Ni vipi kwa hivyo Katiba itarekebishwa? Hapana shaka, patakuwa ni pale mwanadamualipokwenda makosa napo, leo amekwenda kusema hapa na lipate kuendelea lile kosa lake,kama limekuwa sahihi. Mfanotumesema pombe ni halali, na ndio Mwenyezi Mungu akasema—Com. Mosonik : Execuse me can you finish now. Ummalize.Ali Abdalla : Wakati ndugu zanguni umeniishia na ni kwamba Katiba iliyoko ni ile ile ,pasipokuwa ni kwamba sheria ichungwena tuifwate ililivyo miadili ya sheria. Asante.Com. Mosonik : Asante, asante Ali Abdalla Sikanga na sasa nitasimama na kusema kwa niaba ya mwenzangu CommissionerAhmed Isaak Hassan, amepatwa na Malaria kidogo ndio hakurudi na akaomba msamaha kwa kutorudi. Kwa niaba yake na

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!