17.02.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

hapajafanywa jambo. Bali hufurahi kwa kuona kapewa thawabu za bure.

Hamchukii yule mtu aliemfanyia uovu ule wala hamuekei undani Idha kana fihaqqihi

wa sababih, wa idha dhuiya haqqil Llah. Haki ya Mwenyezi

Mungu ikipotezwa, lam yakum an adun lighadhabihi – hasimami yeyote kwa

hasira zake.

Anakasirika anachupa mpaka kinyume na sisi. Ya Mwenyezi Mungu

hatuna haja nayo, tunawafanyia watu wanavyotaka. Lakini mtu akiguswa yeye

kidogo tu, akitukanwa yeye kidogo tu, utaona wewe, ugomvi utakaotokea.

Kinyume ya Mtume SAW yeye mwenyewe anaona upuuzi. Yanayomfika yeye

lakini ya Mungu ndio yanayomshughulisha. Waidha dhuniya haqqul lah lam

yakum alahdun lighadhabihi, waman raahu badi-hatun haraba.

“Mwenye kumuona kwa ghafla hivi humuogopa” Pasnaliti yake ilikuwa kubwa

sana haina kiasi. Waidha daahul miskin ajaba, na maskin akimwita

akimwalika anakwenda anakuwa yeye ni mfalme, yeye Mtume yeye katawala watu,

watu wanamtii, na ndo mkubwa.

Aa katika kutisha kwake safari hii moja katika baadhi ya vita alikuwa

chini ya mti anapumzika akaja mtu na upanga, akamwamsha, akamwambia –

“Nani, atakuhifadhi na mie leo?” akainuka Mtume SAW na kitisho chake

akamwambia Allah! Allah. Yule akatetemeka, upanga ukamuanguka, akauokota

Mtume SAW akamwambia “Nani atakunusuru na mie leo?” Akamwambia: “A-a-!

wewe mtu mtukufu tunajua sifa zako hivi! Akamwambia: “Chukua upanga wako

nenda zako” Yule akarudi kwa watu wake akawambia “Nimekuja kutokana na mtu

alie bora kabisa, mtu ambaye hapana kama yeye”. Wakaja chungu nzima kuja

kusilimu.

Wale wanaosingizia Uislamu kua umetawanyika kwa upanga, hawajui

amma wanafanza makusudi kuusingizia uongo Uislamu. Waidhada ahul miskin

aja-ba.

Yaqu-lul haqq husema kweli, ukweli anausema tu walau kana murrah

– hata ikiwa ni mchungu. Bila shakka anautia sukari sukari, na hivi, nini, lakini

anausema, yaani anausema kwa namna nzuri. Ud-u-ila sabi-li-Rabbika”. Ita

watu kwa njia ya bwana wako – Bil-hikmat, kwa hikma wa maw-idhatan

hasanat, na mawaidha mema. Akisema na mtu kwa maneno mema kabbisa.

Mfano mkubwa ni alipoingia Makka baada ya kutolewa Makka akaenda

Madina - Sasa aliporudi Makka wakakusanyika walio wengi waliomfanyia uovu na

wakapigana nae vita, wengine wamewahi Badru, wengine Uhud, wengine wapi

na wapi, akawaambia “Ma-tadhun-nun an-nanifailin bikum? Mnadhani nini

mimi nitakufanyeni?

2.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!