Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Llah wana mkumbuka Mwenyezi Mungu, Fastaghfiru lidhumu-bihim

waman yaghfir Mwenyezi Mungu madhambi yao wanataka Maghfira

dhunu-baa ila Llah, na nani mwenye kughufuria madhambi illa

Mwenyezi Mungu anakutaka Mwenyezi Mungu Uende wakakutakia

Maghafira. Ukijiachia basi Malaika wataandika wala hapana kuwa: ”Aa!

mie Mungu ananighufirilia kwa hivyo ntasali wakati huo hupati hayo

yanatakiwa uwe nayo - majuto ya towba kuwa ndio sababu yawe

kughufiriliwa hiyo nia kuwa tabia (invironment) pahala palipo

kuzunguka dunia yako ulonayo mambo kadha wa kadha yamekuvuta

umeyafanya ilo siyo. Umezoea kusema uwongo ulipokuwa mdogo sasa

uwongo unakutoka vile vile kwa sababu ya mazoea ya uwongo hayo ndiyo

yanayosemwa sio kwa Mungu yupo ananisamehe na ntastaghafiru huwezi

Istaghafar si kusema Astaghfirul Llah na kutaka akakughafirilie. Mpaka

ajue kuwa kweli umejuta ndo hivyo hata ukichupa mpaka vipi kwa ubaya

unaoingia katika anowaambia: Yaa ibadial ladhi-na asrafu-ala

anfusin-him, enyi waja wangu ambao wamechupa mpaka juu ya nafsi

zao pengine mtu kakujia pamoja na kikundi cha watu walevi kaingia

ulevini kazoea uwongo ana uwongo kazoea kufuatia mbio wanawake au

wanawake wanajiweka kutafuta wanaume kakumbuka Inna lil lahi,

nnafanya nini haya ndio ya motoni haya ndiyo ya Insa-n? Haya ndio yale

ya unyama sio ya Insania ya unyama anataka kuepukana nayo moja kwa

moja yameshamvaa kila yakimjia anajuta anatamani yamtoke kabisa

kabisa-anaambiwa:Laa taqan-atu wawe namna hao wanaambiwa

msikate tamaa na rehma ya Mwenyezi Mungu iwe basi Mwenyezi Mungu

Subhanah wa taala maadam mmemuasi ndio lazima atakutieni motoni

hakusameheni, laa! Laa! la hasha: Inal Laha yaghafir dhunuba jamia

Mungu anaghufirilia madhambi yote: Innahu lahuwa ghafuru rahim

hapana hata kubwa vipi linalomshinda kughufurilia, ana rehma sana lakini

(rejeeni): Wa-ani-bu-ilaa rabiku, rejeeni, bila kurejea kwake hapana

tamaa anataka urejee kwa kujuta, kwa Tawba. Ikiwa mali ya watu kwa

kiasi unavyoweza kurejesha ikiwa unamtukana mtu, au umemsema mtu,

mkamtaka radhi kwa kiasi ya kupata salama ukiona mambo yatazidi, tena

haki ya binaadamu hii ikiwa nikisema mambo yatazidi hapo hatari. Ina

lahu yaghafir dhunuba jaamii innahu huwal ghafuru rahimu, wa

anibu ila rabikum, rejeeni kwa Rabbu wenu makafir hawana pa kurejea

dha-lika baina adhina a-manu-ti tabaul laq wanal safirina la

maula lahum, kwa hivyo ni muhimu sana ni muhimu sana kukumbuka

kuwa kuna Malaika wanaandika na kufanya makosa si ajabu kwa Insa-n

10.