17.02.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Na “Naam”, wakamtupia mawe mpaka akafa alipokufa pale pale akatiwa

peponi: Jannatul barzakh. Akasema: Qi-lad khulil jannat

wakasema ingia peponi: Qaa-la yaa layta qaumi yaalamu-na,

“Layti ingelikuwa watu wangu wamejua Bima-ghafarali Rabbi, hayo

aliyonighufirilia kwayo Rabbu wangu: Wa jaalani minal mukramina,

Barzakh, kabla hata kwenda kiyama. Na wengine barzakh wanataabika

kama Firauni na watu wake. Anna r yu-radhuni alyha, moto

unakabilishwa juu yao, asubuhi na jioni, Udhuwani wa-shiya-wa

yauma takum-sa-ati, na siku kiama kitaposimama, Adhkhilu, na tieni

A-la firauna watu wa firauni Ashadu al adha-b, adhabu kali

kabisa.

Hii wapi: Saba-khan wa masa-an dhuduwan-washiyan,

barzakh ukipita kwenye makaburi unawaona basi salama kuna

watu wako kwenye taabu kubwa kuna wengine wapo kwenye raha kubwa

inategemea mtu ametengeneza nini huko lakini nyie mmeazimia

mtangulize kheri, mmsema kuwa ni watu wa Twariqa tena Twariqa-til

qa- diria, Sayyidna Abdul qadir Jailan qad-dasa Llahu sirahul

aziz. Haimkiniki mtokewa na lisilokuwa ndilo azma mtahisi kuwa hili

mnalofanya silo. Yaa Rabbi niokoe uniongoe narejea kwako mimi

mwenyewe nimeshindwa. Yaa Sayyid wa ustadh Abdul Qadir

Jailan, niombee kwa hiyo tumo katika kheri maadam tunakamatana na

watu hawa na tunataka nyendo zao muhimu ni Suluh kujaribu

kujitengeneza uwe na tabia nzuri hata ukionekana unajulikana. Fi buyutin

katika majumba adhinal lahu katoa rukhusa Mwenyezi Mungu An

tur-fa atukuzwe misikitini pahali pa kutukuzwa si pa watu kujisemea tu

maneno hivi hivi ya kidunia Al hadith fil masjidi yakulul hasanati

kama taakulun nara-l-hatwab. Ina kula mema kama moto

unavyokula kuni msikiti inakutukuzwa kwa Yuth kara fi-hasmuhu, na

jina lake litwaje msikitini kudhikiri watu, kudhikiri Qur an inasema

Wayuth kara fi-hasmuhu yusabihu lahu fiha wamsabih

Mwenyezi Mungu ndani ya majumba hayo, fil-ghuduwwl-wal-a-swalu,

asubuhi na jioni Rija–lun wanaume wa kweli wanaofaa kuitwa

Rija-l si -nini, si ghasia tu Urijali ni kuweza kupigana na nafsi yako

ukawa umo ndani ya kupigana ili mwishoni uwe mtu unaekwenda

mwendo mwema.

Hata mtu mmoja anawataja watu wakubwa anasema: Humurrija-lu,

wao hao ndio Rija-l, aibu kusema kwa mtu asiyesifika na sifa zao yeye ni

14.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!