You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Mwinyi anaijazi Majaalis ulaa El Qa diriya:

BISMILAHI RAHMANI RAHIM:

Alhamdulilahil ladhi iyatabi ilayhi man yashau. Kila sifa njema

inamstahikia Mwenyezi Mungu ambaye huchagua kumsogeza kwake

anayemtaka. Imechukuliwa kwenye aya inayosema: Allahu Yajitabi

ilayhi man yashau.

Na tunatarajia Insha Allah tutakuwa katika hao aliowachagua,

maana anatuakifisha tunakusanyika tunamtaja tunamsalia Mtume wake

tunawataja vipenzi vyake Mawalii wake na Mtume SAW anasema: Wa

inda dhikris swa-li-hin tanzilur Rahma.

Wakati wa kuwataja watu wema rehma inateremka Wayazidu

fil khalaq maa ya shaa. Na anazidisha katika khalq anachokitaka.

Was Swalatu was salamu ala-man law la-hu lahda-ma.

Ingekua si yeye Ladamat fi ghay-bihil ash-ya-u. vitu vingedumu

katika kutokuonekana - kutokuwepo. Lakini kwa sababu yake yeye-

Mwenyezi Mungu kaviumba. Wa ala-a -lihi wa swahbihi wat-ta -

biina biihsa-nin ilaa yawmidi nin.

Amma baad, Ameniomba kijana Said Umar Barut An akuna

Wasila niwe wasila, yaani kati, Baynahu baina yake na Baynal

Mutaqaddimina baina ya walio tangulia Minas Swalihina katika

watendaji wema. Faraghbtu fi an aamala dhalika nikapendezewa

kufanya hayo – Rajaan an yuthbit niya Allah kwa taraji kua

Mwenyezi Mungu atanithibitisha Fi-di-wa-nil-a-rifina katika diwani

ya wenye kumjua Mwenyezi Mungu Wa-an antadhima niwe

nimetungika Fi-Silsilat katika mkufu Al ula-maail a-mili ina

wanazuoni wenye kutumia Ilmu zao- Fa aqulu, ninasema Qad-ajaztu

ha-dha sha-ab nimempa Ijaza kijana huyu Aw-wal an mwanzo Fi

Twariqatil Qadiriyya kama aja-zani kama walonipa Ijaza Ghayruwa-hidin

Isokuwa mmoja Minal kibari katika wakubwa Khulafai

Makhalifa Hadhi hit-Twariqati wa Twariqa hii Bi furuiha kwa

matawi yake Twariqal Qadiriyya ina matawi mengi sana.

30.