Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Wakamwambia “Akhun-kari-m”. Wakamjibu wewe ni ndugu mtukufu

wa Ibn Akhun kari m na Mtoto wa ndugu Mtukufu, hatutaraji ila

utukufu tu kutokana na wewe. Na wanaandika hata wasiokuwa Waislam

kuwa wengi katika wao wangeliuliwa, (tareikh) historia isingelimlaumu

Mtume SAW kwa jinsi uovu wao ulivyokuwa mkubwa na yeye aliwaambia

nini? Idh-habu fa-antumut tulaka-u Nendeni zenuni na nyie nyote

mmeachwa huru, hakuwaambia hata silimuni, huwezi kuwasalimisha watu

kwa nguvu – Afanta takrihun nasa hatta yaku-nu muunini–n?

Utawalazimisha watu mpaka waamini? Lakini akitaka fursa awaeleze

Uislamu nini.

Wajue Uislam nini wenyewe wautamani Uislamu, wenyewe

waingine katika Uislam La ikra ha fid din. hapana kutenzwa nguvu

katika dini iko kuelezwa watu, iko kuvutwa watu, iko kutamanisha watu

kwa Uislamu – wakaongoka. Akawaambia La tathriba alykum-lyawm

hapana Tathriba alykum – ul yaum, irhamul Llah, leo hapana

lawama juu yenu – yaghfir-Llah lakum Mungu atakughufuri lieni,

Allah akbar mlioyafanya yote hayo Mungu ataghufirilieni Wahuwa

arhamu rahimina na yeye ndiye mwenye kurehemu La tathriba

alykum-l-yaum, yaghafiru-l-lah lakum wahuwa arhamurahimina.

Hata wanafasiri kwa kiingereza wanasema: “There is no

blem upon you today. may God forgive you all, and he is the

most merciful of all merciful the merciful”.

Wanasema hapana mtu aliopata maadui zake katika tareikh akaweza

kuwayafanya anayoyataka. Maadui waliomfanyia ubaya mwisho wa ubaya

akaweza kuwafanya anavyotaka yeye, kama yeye Mtume Muhammad

SAW, alivyowapata maadui zake, na yeye hakuwafanza lolote bali

akawaghufirilia na akawaachia wamekwenda zao. Mwisho wenyewe

wamerejea wamekuwa Waislamu na wale wale ndio waliokuja

wakausimamia Uislamu na watoto wao wakaupeleka mbele mpaka

ukatufika sisi. Waman rahu badihatan har-aba waidha daa hul

miskin-aja-ba yaqul haqqa walaukana murra-walayadhlumun

Muslim, ihsan wala dhura. Hamuekei Muislamu Ghush, hamfanyii

Ghush wala madhara – yaani hamfanyii madanganyo - Ghush ni

kumdhihirishia mtu jambo moja kumbe mambo ni vengine sivyo vile

ulivyomdhihirisha. Unasema unamuuzia machungwa kumbe unamuuzia

majani, unamuuzia Samaki kavuliwa leo kumbe alikuwa katika barafu,

hiyo ndiyo Ghush. Kumdhihirishia sivyo vile mambo kama yalivyo,

Mtume alikuwa hana. Vile vile (straight forward) ilivyo ndivyo

3.