Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Shukurani (Ahly Majaalis):

Al-Hamdu lillahi, wa Swalatu Wasa- Salaam a`laa khayru khalqi

Llah Seyyidna Muhammad wa a-lihi wa Swahbihi wa man waalaha, Wa

Baad.

Hichi ni kitabu ambacho ni baadhi ya khutba zake al- habbibi,

Seyyid Umar bin Syd Abdullah bin Syd Ahmad Al-Sheikh Abibakar bin

Salim Sahbi e naat, Hadharamut, ambazo zimerekodiwa na kukusanywa

na Ahl – muridi wake wa Dar es salaam kwa njia ya Video na Audio

Cassette kwa lugha ya Kiswahili, Kiarabu na Kiingereza.

Tumeamua kuziweka katika njia ya vitabu ili Waislamu na

wasiokuwa Waislamu wanufaike na mawaidha ya mwana chuoni mkubwa

kabisa wa wakati huu katika ulimwengu nae ni: “Assaffi sarri rra,

Munawar Bassira “Al-habbib Sayyeid Umar bin Syd Abdallah ( Mwinyi

Baraka).

Watu wengi wanauliza na kuendelea kuuliza kwa nini Al-Habib

hakuandika kitabu nae katika elimu ya dunia amefikia cheo cha Uprofesa?

Kwa bahati nzuri sisi Ahli Majaalis tulijaaliwa na Allah kumuuliza. Nae

akajibu: “Niandikenini? Siwezi kuchanganya Bafta na Hariri”.

Tulipomuomba atufananulie akaendelea: “Al-Imam Al-Habbib Syd

Umar bin Syd Ahmad bin Syd Abubakar bin Summeit, ameandika Rihla

kutoka zanzinzibar kwenda hadharamut na kurudi zanzibar, mimi niandike

nini?. Yeye ni hariri bila shaka”.

Kwa jawabu hii ametupa elimu ya juu kabisa sisi Muridi wake, na

tulipomshauri kwa kumuomba: “Je unaonaje hizi baadhi ya khutba zako

tulizojaaliwa kuzirikodi tukaziweka katika njia ya vitabu, kama wanafunzi

wa Maulana Abdul Wadud wa Pakistan?” akajibu “Kheri shauri”.

Allah amzidishie Nuru dhariha lake, Sheikh Al Faqeer Ahamad bin

Sheikh Muhamad Msiha, Kwa kuchukua jukumu hili kubwa la kunakili

cassette za Sheikh wake na kuziweka katika njia ya vitabu, sio kazi ndogo

ukitizama Mhadhiri

viii.