17.02.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

anavyokuonyesha alivyo. Wala madhara hakuwekei katika moyo wake

kwa kupata kufanya jambo baya, naye atamlipa hana. Man nadhara

Biwajihi alima anahu laysa biwajih kadh-dhabi. Mwenye

kutazama uso wake anajua kuwa uso huo sio wa mtu muongo ukimuona tu

na hata maadui zake wasiomkubali wakijua hayo na wengine wameyasema

khassa uso safi sawa sawa. Na wafuasi wake wako ambao ukiwaona

unasema uso huu si wa mtu muongo ni uso wa mkweli, sikwambii yeye

mwenyewe Sayyid sadiqina, wal ladh sadaqa wasadaqa bihiulayka

humul muttaqun, waqad jaa-bis-sidiq-wasadaq bih, u-

layka-humul muttaqun - Alokuja na ukweli na yule alomsadikisha hao

ndo wacha Mungu. Nani alokuja na ukweli? Ni yeye Sayyidna Muhammad

SAW na mkubwa wa waliosadikisha, Hapana kama Sayyidna Abuu

Bakkar Sidiq - kwa hivyo, mwisho Qur an inasema Lahun-ma-yashauna

inda rab-bihim, Wana kila wanalolitaka kwa Bwana wao,

wadhalika jazaaul muhsinin, hayo ndiyo malipo ya wafanyaji wema,

wana kila wanalolitaka kwa Mwenyezi Mungu kwa hivyo ndo maana watu

huweta wawasemee kwa Mungu. Katika kukubwa kabisa ni huyu Bwana

tuliochagamana nae - Al haykal samadan, wal kindi–lun nurani

Sayyidna Abdul Qa-Dir Jailan. ana kila analolitaka kwa Mwenyezi

Mungu kwa sababu alikuwa katika hawa, Mungu aliowasemea: Lahuma-yashauna

- bali wa mbele kabisa na juu kabisa Sayyidna Abdul

Qadir, hata aliwahi kupita pahala na Mungu watu kama hawa

anawafungulia wanaona kila pahala, huku Bazrakh, wapi kapita kakuta

mtu anaadhibiwa katika kaburi akasema mtu huyu hajapata kuniona?,

hajahudhuria majlis yangu? Akaambiwa hajahudhuria hajapata kuniona?

Hajapata kukuona. Mradi kila namna anatafuta akapate kumuombea kwa

Mwenzi Mungu, ipatikane sababu ndogo akamuombee kwa Mwenyezi

Mungu asamehewe hii ndio hali ya Mawalii wa Mungu kwa watu hivi hivi,

sikwambii kwa wanaopenda wanatamani na wao wangefuata nyayo zao

kwa kumtii Mwenyezi Mungu na kuepukana na Mwenyezi Mungu

aliyokataza, na kuutumikia Uislamu kwa kusafisha kifua na Moyo ikiwa

hawana azma nyengine zozote. Hawadhihirishi kusema wanatengeneza

dini kumbe wanatengeneza dunia yao. Jitihada yao ni kumtumikia

Mwenyezi Mungu na Mwenyezi Mungu anawatumikia, Mwenyezi Mungu

anawapa kama yeye huyo Bwana mmoja niliyekutajieni na baadaye

wamekuja wangapi, Wana wema Muridi wake Makhalifa wake mpaka leo

kwa Maelfu wamejaa duniani mambo yao yanawanyookea, na

wananyanyuka mbele ya Mwenyezi Mungu kwa sababu ya Ikhlasi yao

hawataki chochote wanataka Mwenyezi Mungu. Famatlabul quwm

4.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!