Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Al-hajj Aly Hassan Mwinyi – Mzee Rukhsa - Ikulu na alitutaka rukhsa

aende au asiende.

Ahlil Majaalis El Ula El Qa-diriyya hawataacha kulia kwa

huzuni kila wakifikiria uamuzi aloutoa baada ya makubaliano kua

angeandika tafsiri ya kite kwa lugha ya Kiswahili ya kitabu kitukufu

Qu-ran baada ya kushindikana kuitoa tafsiri hiyo kwa njia ya TVZ, lakini

pia Majaalis nao hawakuwahi kwa sababu aliomba aende Comoro

akamshauri mkewe aje nae D’Salaam nyumbani kwa Al -marhumu Bw.

Moh’d Mhdy (A.y). Kinyume ya mambo ni kwamba kwenda kwake

Comoro alikua ameshaitwa kwenda kukutana na ajali yake badala ya kuja

tena D’Salaam kwa ajili ya kazi ya tafsiri ambayo ilitarajiwa kuchukua

miaka mitatu mizima.

Na ilifikiriwa kutoa juzuu moja moja kama alivoanza hivo Al

marhumu Sheikh Abdallah Swaleh El - farsy (Ay).

Bumbuwazi tulolipata bila ya kumuomba aanze na utangulizi na

Surat El Fa-tiha tu tulifanikiwa nalo baadae kabisa kua lau mtu angejua

ghaibu basi kuzidisha kheri kwetu ingetumilikisha angalau na tafsiri ya

Surat El - Fatiha ya Al-habib Sayyid Omary Abdallah Mwinyi Baraka

(Rahmatullah a`layhi). Kwa sababu Al - habib alitudarisha vizuri sana

kuhusu somo la Nafsi (Tizama kitabu chetu “Maana halisi ya Imaani II”)

hatuoni haja yeyote ya kulaumu walokua na uwezo mkubwa na kueka

kumbukumbu ya mwanachuoni huyo kabla na labda baada ya kufa kwake.

Akielezea mwenyewe Al - habib kua kila alipokua Makka Al -

marhumu Bin Bazz alikuwa akimtanguliza…… “Omar Swalisha”.

Akimwambia:- “Bwana Mtume SAW akisema:- “Ahlishsharafaalaa

Ahlisharaf watu wa Sharaf hupitana kwa Sharaf. Walaa Yaaarifa Ahlish

– sharaf wala hawawajui watu wa Sharaf Illa Dhawish Sharaf Illa ambao

ni watu wa Sharaf”.

Kwa niaba ya Majaalis natwaa fursa hii kuwashukuru mno vijana

wa Darasa la kila Jumatano Baadal - Maghrib Mtaa wa Sadani Ilala baina

kina Sharif Karama kwa juhudi yake kubwa katika kuziandaa kwa makini

na uangalifu sana jumla ya makala hizo na kuzitoa katika Computer - kina

Sharif El -Beyt Hussen, Fuad, Mohamed, Mkhashshe, Swahibul - Ishara

Swaleh Hariz, Okashi, Mustafa, kina Ababil Abdallah Twalib Arusha na

wote wa Jalsa hiyo Mnyezi Mungu atawajazi Fid Dunia Wal A-khirah.

AL – FAQEER.

AHMAD SHEIKH