17.02.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Nafsi usiwe nawe ni mtu wa exircise tu watizama Nafsi inakuwaje kila

siku unajipima unashindana kuvuta kamba, kuwa shujaa: wa shujaatu

sabri saa. Unavutwa na matamanio wewe ukapigana na matamanio

ukasubiri na Twarika yote kila ukisikia kuna Twarika ni kuitengeneza

Insa-n ile inaitwa Insa-n tena sehemu ya Ubinaadamu. Mikutano ya

kheyri ya dhikr macho yanatazama njia ya kupita lakini hasa Twarika

inamuongoza Insa-n imfanye awe na mahaba katika moyo wake

anampenda Mwenyezi Mungu na Mtume wake na viumbe vya Mwenyezi

Mungu. Awe karimu asiwe mwizi asiwe mjanja si madhambi ya Nafsi,

madhambi ya Roho. Madhambi ya Nafsi yanakuwa makubwa sana

mbali kuliko madhambi ya kiwiliwili hata mtu akiiba. Unaokwiba si

mkono unatumwa tu. Ndo maana mtu asiyekuwa muaminifu hana Imaan.

La imaan liman laa amana ta lahu hapana Imaan kwa mtu ambaye

hana uaminifu, kwa sababu uaminifu si kitu cha mkono wala cha kichwa,

wala cha miguu ni Nafsi, ni Roho ndo inayovunja uaminifu, mkono

ukatumwa ufanye lisilo twa Laa i-man li-man la amanata lahu. Ya

ayyuhal In-sa-n akbil alan nafsi wastaqbil fadhaa ilaha ya

anta bin nafsi au bir uh la bil jismi Insa-n. Si kwa kiwiliwili.

Insa-n usidhani kuwa wewe ni kwa kiwiliwili, Insa-n. Kwa kiwiliwili

wewe ni kama Ng’ombe, Mbuzi, Sungura, panya nao wao ndio sehemu ya

kiwiliwili ulichonacho wewe (Mammals) Biologist wanamwita. Lakini

Insa-n, Twarika iko hapo katika inapoandama “Suluk” kupata njia

kujitengeneza ukajitoa na kujitafuta utukufu kwa njia ya dini ukatafuta

mali kwa njia ya dini, njia ya kumtaja Mwenyeezi Mungu, na huku una

yako ya kidunia. Insa-n hapo unakua yupo katika hatari yaani: Ya

ayyuhal Insa-n maa gharraka birabbikal karim nini

kilichokuhadaa na Rabbi wako hata ukawa wewe unadanganya viumbe.

Unadanganya viumbe unadhani na Rabbi hajui au hatambui au ukienda

kinyume na alokuamrisha una wazee wawili huwatii, una mke humtimizii

inavyolazimu, mke ana mume hakai nae kwa Insafu nini kilicho kuhadaa?

Na Rabbi wako wewe ni karimu kakukirimu wewe Insa-n kakupa

ubinadamu huo, una macho una miguu una viungo una mambo kadhaa wa

kadhaa. Alladhii khalaqaka ambaye kakuumba akakupa mwili huo

fasawwak akakufanya sawasawa mikono imekaa sawa, miguu macho kila

kitu kakuumba kimekaa, nini ungezewe ukawa mguu mrefu, mkono mmoja

mrefu, mmoja mfupi, na yote hajakufanyia hayo kakutengeneza barab-bar.

Fa-ad-dalak akakufanya ulingane Fi ayii suratin maa-shaa, katika

sura yoyote anayoitaka yeye mwenyewe Raq-kabaka, kakupandisha

8.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!