Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
UTAMJUAJE MTU KAMA YEYE NI WALII?

Wakam taj-ali-ma-l taj-de ni De-nak-kafa-mini Isya-ni-kha-fi-futu-nak.

Hii katika Witria mwenye wenye Witria watu

wawili wala si mmoja aliyefanya tatu ongeza ziwe tano kusema: “Ee nafsi

tubia”, ulipe kumpa Mwenyezi Mungu deni yake, kuna mangapi ambayo

yamekulazim ya Mwenyezi anakudai kaa ufikiri nini unadaiwa upate kulipa

mara ngapi ngapi ulikuwa ukijifanya mjinga kana kwamba hujui deni yake

maasi ya kutosha ogopa fitina za maasi, Kafa-ki minal is-yani kha-fifutu-nahu.

Halakti ya Fitri kasha Shafii liannahu, umeangamia

kimbilia kwenda kwa muombezi kwa sababu yeye Maladhun-bihi Tarfale

uwswati Rajaha, ndo mategeye maasi wanapotarajia kuokoka kwao yaani

mtume SAW na wangapi sasa hivi wanakimbilia huko Madina ili waende

wakamkabili Mtume waseme: “walaw ann ahum idh dhalama

anfusahum ja-k-ka” ingekuwa hizo wanapodhulumu nafsi zao wanakujilia,

Fastagh jahullah taghfara lahumur Rasul, na ujumbe wa Mwenyezi

Mungu akawatakia Maghfira wangalifanya hivo Lawajadu-i-laha taw-waban

Rahima wangemkuta Mwenyezi Mungu ni mwenye kupokea toba zao

mara kwa mara Mwenyezi Mungu hurehemu sana hurehemu sana ingekuwa

akidhulumu nafsi zao na wanakujia wewe na wanakuja kwako.

Aya dhahir Sha-hir hiyo, tumeambiwa kuwa watu waende kwa

Mtume SAW akamtake Maghfira Mwenyezi Mungu na watu wa kisasa

hukwambia: “Aa kwa nini uwende kwa mtu kwani mwenyewe Mungu si yupo

karibu”. Idha saalaka Ibadi Anni Fa inni qariibu uji-buddaawata-

dai idhaa daani: Mimi, wakikuuliza waja wangu na miye mimi

niko karibu, niko karibu ule ukaribu wa unasikia unayosema ule ambao unabidi

mtu. muite mtu mbali. SAW ni umbali wa kuasi na umbali wa kusikilizana na

Mwenyezi Mungu na kupendwa na Mwenyezi Mungu hata akipendwaje Mtume

SAW yuko karibu na yeye zaidi kuliko wewe, walopata ni wale walopata

Mabwana wakubwa tu kama mmemuona Sayyidna Abdulqadir Jaillan katajwa

hapa, Sheikh Uweso na wengineo ukaribu kukaribia kwao ni kwa sababu ya

Wasta wa Rasul SAW. Hapana anayefikia kwa Mwenyezi Mungu mwenyewe

kwa mwenyewe shart afike kwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu Rasulullah

SAW. Kitu hicho muhimu sana. Mtukuze kila unayemtukuza, mpende,

mpeleke mbele lakini usimtoe Mtume SAW ukasema yeye mwenyewe

anatosha. Yeye mwenyewe hatokubali kabisa. Mwenyewe kutaka kwenda kwa

Mwenyezi Mungu,

20.