Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Swali (5) Al Akh Abdul Samad: Nafsi saba zile utazijuaje kama sasa

hivi ni Al ammarat au lawamma?

Jawabu: Ukiwa na Sheikh na atakwambia au atakuonyesha au ukizijua zile

alama zake utaweza kutambua ukiona una 1 Ammaratu ulimwengu na maasi na

mukhalafat hukumbuki Mungu, hiyo ni kuwa umo katika Nafsi Ammarat ndo

hayo nataka kusema kila moja ukaitazama ile hali yake ulivyo ukiwa

unazifahamu kwa makosa yaliyo kutokea ukafanya sio ukazilaumu kuwa miye

nimefanya yasiyohitajia sio nivohitajia basi unajijua uko katika Lawamma na ile

Nafsi ina majina inakuwa inapoitwa Nafsi mwanzo inaitwa Nafsi ikigeuka

inaweza ikaitwa Aql ikigeuka ikaitwa Qalb ikageuka ikaitwa Ruhu kama

Ruhu ni Nafsi Mutmaina itaitwa Ruhu mpaka mwisho ndio unajihisi upo

katika ulimwengu mwengine siku zote Alamul mulk, Alamul malakut,

Alamul naku-t kwa hivyo haya yote ndio tunayosoma kuyahisi mtu

atakayotambua ni mambo ya Mwenyezi Mungu unataka kuja-ahad wa jahid-tusha-hid

fanya mujahada utashuhudia uta experience hayo hayo

unayoyajua pigana na Nafsi yako utayapata na mengi utayajua na hayo ndio

yanayotafutwa hayo kina Talabul Uluwwi, kutafuta ukubwa kutafuta ufasadi

wewe mwenyewe unasema unatengeneza kumbe umo katika ufisidifu, unataka

kugombanisha watu na kutaabisha watu na hivi. Haya tabu- mtu

kuyatambua mwenyewe Hasadi, kibri, ujub, wa hana mtu na kujisahau

kujihasabu kuwa hapana kama yeye na ndo maana – walabuddi min

Sheykhen Tasilu Bi sayrihi illa lah Hapana budi ile ipate Sheikh Minal

ula-maila-mili-n fain kan tajid fasribu khayru matiyyatin. Ikiwa

hukupata tafuta mwenzako tu mtasaidiana basi lakini Sheikh wakukuongoza

inataka mtu mwenyewe kafika ukipata mwezako nyote mnatamani mtasaidiana

mtapata katika Barzakh huko huko duniani atakutizameni muendelee mbele.

Swali (6) Al Akh Abdul Samad: Mtu anaweza kuingia katika daira ya

Uwalii bila ya kupitia katika Twariqa?

Jawabu: Bila shaka si kwa unavyoamini wewe si namna hii tunavofahamu sie

kuwa umo katika chama fulani Qadiria, Shaadhiliya, Nakhshabandiya hii

sio Twariqa, hii ni vyama ili kufuata njia zilizowekwa baada ya sharia ukapigana

na Nafsi ufuate zaidi ya ndani unaswali, unafunga, umeepukana na maasi ya

mwili hivi sasa unapigana na Nafsi katika Nafsi upate Zuhdi upate Hubal

Mahabba upate nini,

Hiyo ndio Twariqa kwa hivyo utopokuwa unafanya hayo na Mungu

24.