17.02.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

maula-hum huwa Sayydahum. Matlab ya watu hao ya Mabwana

hawa, ni Mola wao na mabwana wao. Yaa khayra matlabih lilwahidil

ahadi. na Mungu anajua atakupa mambo yote katika dunia.

Muridi nani? Ni yule anayetaka kwa Mungu anajua mambo yote anayo

Mwenyezi Mungu kwa hivyo nitayotaka kwake lazima atanipa. Sababu

unakamatana naye, unafanya biashara pamoja na wanaofanya biashara

unafanya kazi, unalima pamoja na wanaolima. unasukuma magari pamoja

na wanaosukuma magari lakini unajua kuwa yote anayo Mwenyezi Mungu

atakapotaka kukupa atakupa na unayotaka, kwake zile ni sababu tu ambazo

atakufungulia kheri zake.

Niliambiwa mwanzo kuwa utasema kiasi ya muda mchache hapa

baada ya Qiam, na nimekubali maana hiyo kwa sababu ile nafasi ya wakti

wenu huu wakati wa sasa tulio nao usiku huu na wakati huu si wakati wa

kutawilisha sana kwa kutizama kabisa. Na halafu nikaja kuambiwa kuna

video tayari kuchukua maneno saa na nusu takriba. Hiyo ni heri kubwa,

lakini inataka wakati ambao mtu katulizana fikra zimenyooka, kwa hiyo

nimetabaruku kidogo hivi na hiyo video nitaijaza Insha Allah wakati

ambao unasib na kule kutabaruk na Qur-an tumesikia yule bwana

aliyeisoma Qur an hapa Wamathali kalimatin twayyba mfano wa

neno zuri na nikalimati twayyba- La Ilaha illa Llah ashajaratin

twayyba kama mti mwema-as-luhatha-bitu, shina limekaa vizuri

huna namna ya kuangusha mti ule wa faruha fis samai na matawi yake

yako juu kabisa na La Ilaha illa Llah ndio inayohitaji mtu akiwa nayo

iwe tabia zake zimethibiti, hana uovu, hana azma mbaya, hana kutafuta

haki za watu, hana wizi, hana matata na tabia mbaya zinajulikana ghilba,

hana kugombana na watu, thaa-bitun na matawi yake yanakwenda juu

yeye mwenyewe ananyanyuka tu amali zake zinazidi, kheiri zake zinazidi,

khasa kwa kuwatumikia wenzake na kuwatumikia Waislam asluhathabitu

wafar-uha fis-samai tuti ukulaha kulla hii-nin-bi idhn

rabihim zinatoa vinywaji vyake kula wakati. Mti huo hauna “Aa siku

hizi si season yake”. Mwenye La Ilaha illa Llah moyoni mwake wema

anao siku zote anaonekana, kila wakati ana Insafu, ana bashasha, anasaidia

watu, anatumikia watu, na wengine kama sala tano zinakwenda. Tuti

ukulaha (kula hii-nini) bi idhni rabiha na yadhribu la lahal

amthar-la-lin na-s, na Mwenyezi Mungu anapigia watu mfano.

Laalahum yadh dhaq-karun, ili wakumbuke na kiasi hicho ni kichache

Mungu atupe nafuu hata tutapokutana tena popote pale, hata kama ni peke

yangu, niijaze hiyo video.

Wafakana llahu lima yuhibuhu wayardhahu.

5.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!