17.02.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kwenye Dhikri TAGHAMMADAHULLAH BI RAHMATIHI-

Imekwisha. THA-NIAN-AJZTUHU- Nimempa Ijaza tena

AJAZTUHU BIT-TAMASSUKI kukamatana BIAWRADIS SA-

DATIL ALAWIYYA- La siyyama MA-FIL MASLAKIL QARI-B

yaliyomo katika Maslakil Qari-b yaani mambo ambayo

yamepokewa yote yanini kwa Mtume yamepokewa kwa watu

wakubwa Kina Ahzabi Sayyidna Abdul Hassan Shadhili QSA. Na

hizbu za Mashekhe walotangulia mwisho utakuta mengine ya

Mtume SAW kama katika hizbun Nasri inasomwa baada ya Al

Isha imo ndani ya maslahil Qarib ya Sheikh Abal Hassan

Shadhilii NABTWAATI GHARATIL ARHAMI WA BTAADAT

ANNA, FA AQRABU SHAY-IN GHA-RATULLAH YAA

GHARATALLAHI HUSNIS SERA MAS NA-ATAN FIL HAAL

UQDATAN ALA GHARALLAH Ndani yake kuna maneno ya

Sheikh Abdul Qadir Jailan katumia Mjukuu wake Sayyid Abal

Hassan Shadhili sababu kwa jaha SILSILA Sayyid na Abal

Hassan Sadhil ni Mjukuu wa Sayyidna Abdul Qadir. Kuna watu

wawili katika njia mbili tatu anafika kwa Sayyidna Abdul Qadir

Jailan moja kwa njia ya Sayyidna Abuu Madiyan na kwa njia

nyengine kwa Mohammed bin Saleh basi hasa yaliyomo ndani ya

maslakil Qarib WARATIBUL ATTAS WA RATIBUL HAD-DAD

na Ratibu attas na Ratibul hadadi. Na namuusia na nafsi yangu

kumcha Mungu na kupigana na nafsi yake hata awe kijana

aliyekulia katika ibada ya Mwenyezi Mungu. HATTA YAKUNA

SHA-B-BAN NASHA-A FI IBA-DATIL LAH FAYAKU-NA FI-

SAB-TIL LADHI-NA Atakuwa katika wale saba ambao

YUDHILLUHUMU LLAHU- atawafunika Mwenyezi Mungu

YAUMUL QIYAMATI TAHTA DHILLIHI-atawatia chini ya kivuli

chake YAWMA LA- DHILLA ILLA DHILLUHU-siku ambayo

hapana kivuli ila chake yeye. Hii hadithi ya Mtume. Watu saba

Mungu atawafunika chini ya kivuli siku ya kiama. Juwa wanasema

litakuwa kiasi cha maili moja au kiasi cha maili ya kupakia wanja.

Basi watu saba watakuwa wanafunikwa chini ya kivuli cha Arshi na

mmoja kati ya hawo waliotajwa ni huyu SHA-BUN kijana

NASHA-A kakulia FI IBA-DATIL LAH katika ibada ya mwenyezi

33.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!