17.02.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mungu, kama mlivyo nyinyi mko katika ibada ya Mwenyezi Mungu

mkiendelea namna hii mpaka utuuzimani basi mshaingia.

Mwenginewe RAJULUN- na mtu kaitwa na mwanamke mwenye

cheo mzuri akasema, “Laa stak” INNI AKHA-FULLAH “Mi-na

muogopa Mwenyezi Mungu” watu wa kisasa, nini, atamwambia “E!

si kataka mwenyewe?” Itakutia motoni na kutaka mwenyewe.

Na mwengine mtu katoa sadaka kwa mkono wa kulia hata

mkono wa kushoto hauna habari Yaani kaificha kaifanya kwa

Lilah. Na mtu mwengine kamkumbuka Mwenyezi Mungu na yupo

peke yake machozi yakamwagika – FA-FA-DHAT AYNA-HU na

watu wawili walopendana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu

wakakutana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu wanafarikiana kwa ajili

ya Mwenyezi Mungu. Ni kama sisi. Siye hapa tunapendana kwa

ajili ya nini? si kwa chochote si kwa ujamaa si kwa kupeana, si kwa

chochote, mali si kwa chochote, kwa sababu ya Mwenyezi Mungu

basi, Inshaalah Mwenyezi Mungu atatudumisha namna hii

tutaingia njia nyengine za kupita kuingia katika watu saba hao

basi na yeye na akulie katika ibada apate kuingia.

WA HA-DHIHIL IJA-ZA-, na ijaza hii LAHU- ni yake yeye

WALJAMII AHLIZ ZA WIYAL QA-DIRIYA-na wote watu wa

zawia QADIRIA FI DAR-ES-SALAAM - SI YAKE PEKE YAKE.

WA HUSSUHUM na ninawahimiza wote ALAA AN

YASHTAGHILU washughulikie BIMAARIFATIL HALA-L WAL

HARAM kujua nini halali nini haramu. WA AN YUDA-WIMU

wadumisha ALA SWALAWATI juu ya swala BIAWAQATIHA

kwa nyakati zake. WA BIDHA-LIKA na kwa kufanya hivyo

SAYANJU-N-wataokoka MIN SHARRIN NAFS na shari ya

nafsi WA A- FA- TIHA na maafa ya nafsi WA KULLU WA-

HIDIN MINHUM na kila mmoja katika wao LAHU AN YANQULA

yamuelea katika kunakili na kukopi HA-DHIHIL IJAZA Ijaza hii

WAYATWARHA ISMUHU na atie jina lake badala ya jina la Said

Umar Barut-LIAN-AHUM KULLUHUM SUADAI-wote ni masaidi

wa kila mmoja ni Saidi, ni kama kikuku LIANNAHUM na wao,

34.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!