17.02.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

wakati Buraq alipopiga mapepe Sayyidna Abdul Qadir Roho yake

ilifika pale na Bwana Mtume SAW akakanyaga na kumpanda Buraq?

Jawabu: Tunakubali tunakubali lakini huwezi kusema ni hadith sahihi na

Mtume Mohammad SAW kaitaja hapana anaweza kusema hadithi hiyo kuwa

Qala SAW ingekuwa ndio hio ingekuwa Waislamu wote duniani wanalikubali,

lakini pahali pake Sayyidna Abdul Qadir (QSA) Sharti mtafautishe haya

mambo baina ya watu wenyewe na yanakubaliwa na Waislamu wote na hadith

sahihi ni nini, iko wapi, ukisema namna hiyo utabanwa lakini pahali pake na

zaidi kuliko hivyo na wala hapana wa kulinganisha baina ya Mawalii, huyu

daraja ndogo huyu daraja kubwa kuna unaowajuwa na usowajuwa wanajulikana

na wasojulikana na wasojulikana ni wengi kuliko wanojulikana, na Mwenyezi

Mungu anawaficha Mawalii wake ila kama anataka wafanya kazi waadhi hivi

wawasaidie watu kabisa. Ni kisa kinene nakitoa lazima nipate kuwaambieni

anahadithia Mwenyewe Sayyidna Abdul Qadir Jailani (QSA) yule mwanamke

aliemkuta anahiji na ana mguu mmoja tu akamwambia: “Wewe namna gani

mguu wa pili uko wapi?” Akamwambia: “Nimemuachia mtoto kalala, kaulalia,

nikaona sina haja ya kumtaabisha kumuamsha nimeuacha nimejitoa…”

Akamwambia: “Wewe Walii mkubwa namna hii na sikukuona”. Akamwambia:

“Utawaona kiasi chako, walokuzidi utawaona wapi?” Anahadithia mwenyewe

Sayyidna Abdul Qadir lakini nilivyoitaqidi mimi na nnavoeleza mimi kuwa

hapo ni mwanzo wa daraja zake, kabla hajafika juu kabisa. Huwezi kujua haya

kuhusu kitu, na nani Walii Mkubwa nani mdogo na nini. Wee kamatana na

unotaka na unotaka kukamatana nae au ulomjia au ulolelewa au ulomjua au

ulolelewa kumjua au ulokaa au alokukaa moyoni mwako mkamate vizuri Alaa

inna Awli yaa Llah laa Khaufun alayhim wala hum yahzanun.

Hakumtaja fulani wala fulani wala fulani wala Auliya Qadiriya wala

Shadhiliya wala Nakshabandiya wala Qistiya Auliya Allah laa khaufun

alay him wala hum yahzanun. Lahum bushra fi hayatil Duniya hapa

na kinachomzuia mtu na Wilaya Ila Llah ni Nafsi, basi Nafsi yake mtu ina

matata sana Moyo wake na katika dua kubwa ni kusema Qad istaa takribb

ala-muda wa-tiqalb wahalauqdat qalb- fandhur ila Rabbi yan

jaqad - instan Tal. Mwenyezi Mungu akusaidiye bila Mwenyewe huwezi

kufanya kitu.

Swali (15) Al Akh. Marjebi: Mtu katika kuitakasa Nafsi yake kama

atashindwa bado ana machafu ambayo kila akijitahidi kutaka

kuyawacha?

27.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!