Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Jawabu: Anaendelea anaendelea unaweza ukaendelea mpaka mwisho wa

Umri wako ndio ukapata wengine kabla kidogo ya kufa?

Swali (16) Al Akh. Marjebi: Anaweza akaongoka mtu yule kwa

kuombewa duwa na mtu mwengine?

Jawabu: Wengi wanapata kwa njia hii kuombewa duwa wengine kwa

kutazamwa na tangu hapo mtu hangoji hayo rehema ya Mwenyezi Mungu na

dhari ya Mtume SAW dua ya Mawalii taaluq yake na Mawalii na ndugu zake

Waislamu itamsogeza.

Swali (17) Al Akh. Abdul Samad: Twariqa yetu tunaambiwa

Sheikh Uweys bin Ahmad amekaa Riyadha katika kaburi la Sayyidna

Abdul Qadir sasa hapa kuna………?

Jawabu: Si sharti, kuna Sheikh mmoja Seyyid Saleh Twarika yake ni

Ahmadiya kakaa miaka saba mbele ya Sayyid Hussein Basry, bila… El Jafry

ana Qasida zake …….. Qaw mul Jaf-ry lakini sio Sharti wengine hata

hawajapata kuwa labda Walii wa nchi yao tu. Habib Saleh hakwenda pahala

kafika top. Nafsi Nafsi Nafsi lakini nani anataka Uwalii? Na mtu anataka

awajue Mawalii na nani anataka kujua? Watu wanataka waambiwe kuwa

wanajua ukitaka haswa.

Swali (18) Syd. Hashim: Tunataka ufananuzi kuhusu matibabu

ambayo yako ndani ya Dini na ambayo nje ya Dini manaake mfano

kama kutizamia basi au kadhalika.

Jawabu: Utatizama yanayokatazwa na Uislamu. Mabaya na yasokatazwa.

Swali (19) Syd Hashim: Moja wapo ya yanayokatazwa?

Jawabu: Sijui watu wanafanya nini katika mambo watu wanayoyafanya yakawa

yanakatazwa

Kurekebisha Swali na: Sheikh Ahmad: Labda alitaka kudharifia

kwamba kama ilivyo katika Qur an: “Wa nunanzila minal Qur an ma

huwa shifaa-un wa rahma tun lil Muuminin…” Ambapo wengine

badala ya kwenda Hospitali wafate njia ya kujitibu kwa Qur an

Jawabu: Mtume kasema “Tadawu fainna min kulli dai dawai” Hospitali

kaiyumba Mwenyezi Mungu yaani “Tadawu-fainna li kulli dai-dawai”.

Wafaqana Llahu lima yuhibu wa yardha.

28.