Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
katika Alhamdu tunaita Ma-liki yau mid-din.

Waina alykum lahafidhina kiramban katibina wamahum

anha bighaibina, wala hawakuwa wao na moto ni yenye kuwa hawapo

hata siku moja (they are never absent from the fire) kila ikija list

ya kuitwa majina fulani fulani “labbeyk” yupo hathubutu kukimbia akawa

absent: Wa ma-hum an-ha-bigh-ibina wamaadraka mayaumud-din,

nini kitakujulisha kitafanya ujue nini hiyo siku ya hukum?

Thuma adraka mayaumud-din, nini baada ya hapo

kitakachokujulisha nini siku ya hukum?, Yauma siku La tamliku nafsun

linafsin-shay-a, hapana nafsi itamiliki kumiliki nafsi nyengine kwa kitu

chochote hapana nafsi yoyote itathubutu kuja bila ya amri ya Mwenyezi

Mungu na kukubaliwa na Mwenyezi Mungu – “Aa! mimi namuombea

huyu mtu wangu, huyu sahibu yangu huyu mwanangu, huyu Muridi

wangu”. Shoti Mwenyezi Mungu ampe rukhusa kwanza: walaa

yashfau-na illa limantadha, wala hawashufai illa wale Mungu alomridhia

kwanza kuwa huyu anaweza kuwashufaia huyu alikuwa mtu

unaambiwa kachupa mpaka kutoka kwenye Circle kwa kushufaiwa sio

mambo ya kufanyia mas-khara, inataka mtu akae afikiri na mambo

yanamngojea kila mtu: Yauma la tamliku nafsun linafsin shai a wal

amru yauma idhini lillah, na amri jambo siku hiyo lina Mwenyezi

Mungu: Al hayyu qayyum, anayajua yote: Lataahudhuhu sinatun

wala nawm, haumchukui usingizi kusinzia wala usingizi: Ya ala-mu

ma-bayna aydihim, anajua yalo mbele yao watu wote: Wamaa

halfahum, na yalo nyuma yao: Wala yuhituna, wala hawazungukii

ukiwajua vilivyo: Minal-ilmi, katika elmu yake, Illa bimashaa-Allaa

anachokitaka: Wasia kursiyuhus-sama-wati-wal-ardhi, kiti chake

cha ufalme kimeenea mbingu zote na ardhi: Wala yau-duhu if

dhuhuma wahuwal aliyul-a-dhim, hakumchokeshi kuhifadhi,

Samha-wa-ti wal ardhi, siku hiyo: Yauma latamliku nafsun

linafsin shaiyan wal amru yauma idhin lillah. Watu wa mwanzo

watostahiki watopata kheri kubwa ni watu wenye kupendana kwa ajili ya

Mwenyezi Mungu itanadiwa: Muta-ha-b-binalijala-lati andhilihum

tahta dhili yauma la dhilim illa dhili, wako wapi wanaopendana

kwa ajili ya utukufu wangu niwafunike chini ya kivuli changu siku ambayo

leo hapana kivuli ila kivuli changu: Wajabat man abbat lin mutaha-bina

fia, yamepasa mapenzi yangu kwa wenye kupendana kwa

sababu yangu: Almuja lisina fia, wenye kukaa pamoja kama hivi na.

12.