16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

inadamu nchini, kutambua matatizo maalum

na kutoa mapendekezo juu ya jinsi matatizo hayo

yanavyoweza kutatuliwa. Kwa msingi wa madaraka

yake, Mwandishi Maalum anatakiwa kuangalia

kwa makini hali ya watetezi wa haki za binadamu

nchini. Hata hivyo, mchakato huu unadhamiriwa

kutoa tathmini huru na isiyo na upendeleo, ambayo

itakuwa ya msaada kwa watendaji wote katika

kuimarisha mchango wa watetezi wa haki za

binadamu hali kadhalika ulinzi wao.

(I)Taarifa ya Mwaka kwa Mkutano Mkuu

wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Haki za

Binadamu la Umoja wa Mataifa

Mwandishi Maalum huwasilisha taarifa ya mwaka

kwa Mkutano Mkuu hali kadhalika kwa Baraza la

Haki za Binadamu akielezea shughuli yake ya mwaka,

ugunduzi, na mapendekezo, ikiwa ni pamoja na

kesi zote alizoshughulikia na majibu yoyote kutoka

kwa Mataifa tokana na hatua za haraka au barua za

madai.

Tangu kuanzishwa kwa madaraka haya, wakati wa

vikao vya Mkutano Mkuu na vilevile Baraza la Haki

za Binadamu, washika madaraka hawa wawili hadi

sasa wamekuwa na taarifa madhubuti za umma

zikilaani tabia ya Madola kwa watetezi wanaofanya

kazi katika ngazi ya kitaifa, zikitilia mkazo juu ya

ukweli kwamba baadhi ya watetezi huwa hatarini

zaidi wakati wa vipindi vya uchaguzi wa kitaifa

wanapojaribu kushiriki katika mchakato wa uchaguzi

wa kitaifa.

Mshika madaraka wa sasa, Bibi Margaret Sekaggya,

pia ametoa taarifa juu ya masuala muhimu

kuhusiana na mada hii. Mwaka 2010, taarifa

yake juu ya hali ya watetezi wanawake wa haki za

binadamu iligusa masuala makubwa ya tabia ya

mwenendo wa kufanya mapenzi na utambulisho wa

kijinsia. Taarifa ya hivi karibuni inachukua muundo

wa ufafanuzi juu ya Azimio hili, ikitoa uchambuzi wa

haki zilizomo humo. Chombo hiki chenye manufaa

cha kumbukumbu za watetezi wa haki za binadamu

kinapatikana kwenye tovuti ya OHCHR katika:

http://www.ohchr.org/

Documents/Issues/Defenders/

CommentarytoDeclarationondefendersJuly2011.pdf

Maelezo ya anwani kwa kupeleka mapendekezo na kwa

mawasiliano zaidi

Mwandishi Maalum juu ya hali ya watetezi wa haki za binadamu,

Bibi. Margaret Sekaggya

k/k Ofisi ya Ubalozi wa Haki za Binadamu – Palais Wilson

Ofisi ya Umoja wa Mataifa, Geneva

CH 1211 Geneva 10

Switzerland

Kuwasilisha madai ya uvunjaji sheria dhidi ya mtetezi wa haki za

binadamu:

Barua pepe: urgent-action@ohchr.org au faksi: +41(0)

22.917.90.06

Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu

na Haki za Watu - Mwandishi Maalum

kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

Katika kikao chake cha kawaida cha 35,

kilichofanyika tarehe 21 Mei – 4 Juni 2004 huko

Banjul, Gambia, Tume ya Afrika kuhusu Haki za

Binadamu na Haki za Watu kiliamua kumteua

Kamishna Janaiba Johm, kama Mwandishi Maalum

mpya kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu barani

Afrika . Nafasi yake ilichukuliwa na Bibi Reine

Alapini-Gansou mwezi Desemba, mwaka 2005,

mwanasheria kutoka Benin, ambaye alishika nafasi

hiyo hadi mwaka 2009. Mheshimiwa Mohamed

Khalfallah alishika nafasi hii mwaka 2010, na

kufuatiwa na Bibi Lucy Asuagbor kutoka mwezi

Novemba mwaka 2010 hadi mwezi Novemba mwaka

2011. Kwa sasa nafasi hii imeshikwa tena na Bibi.

Reine Alapini-Gansou. Tume ya Afrika kuhusu Haki

za Binadamu na Haki za Watu ni chombo cha kwanza

cha haki za binadamu kikanda kuunda utaratibu

maalum wa kushughulikia ulinzi wa haki za watetezi.

Uamuzi wa kumteua Mwandishi Maalum wa

watetezi wa haki za binadamu ni hatua ya

kushughulikia hatari kubwa inayowakabili watetezi

katika Afrika na haja ya kujenga msisitizo maalum

ndani ya Tume ili kuchunguza, kutoa taarifa na

kuchukua hatua juu ya taarifa kuhusu hali ya

watetezi barani.

Tume iliamua kumkabidhi Mwandishi Maalum

madaraka yafuatayo:

• Kutafuta, kupokea, kuchunguza na kuchukua

hatua juu ya taarifa ya hali ya watetezi wa haki za

binadamu katika Afrika;

• Kuwasilisha taarifa katika Kikao cha Kawaida cha

Tume ya Afrika juu ya hali ya watetezi wa haki za

binadamu barani Afrika;

• Kushirikiana na kuanzisha mazungumzo na nchi

wanachama, Taasisi za Taifa za Haki za Binadamu,

mabaraza baina ya serikali husika, mifumo ya

kimataifa na ya kikanda ya ulinzi wa watetezi wa

haki za binadamu, watetezi wa haki za binadamu

na wadau wengine;

• Kuendeleza na kupendekeza mikakati madhubuti

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 7

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!