16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mataifa vya Ufuatiliaji Mikataba (inajulikana kama

“Vyombo vya Mikataba”) na Taratibu Maalum

za Tume ya Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za

Binadamu (Tume) kuibua masuala juu ya kuendeleza

na kulinda haki za binadamu za watu ambao ni

wasagaji, mashoga, wanaovutiwa kimapenzi na watu

wa jinsia zote mbili au wenye jinsi mbili. Waraka huu

unatoa ushauri wa vitendo juu ya jinsi ya kutumia

vyombo hivi kuinua masuala binafsi pamoja na hali

ya jumla ya ukiukwaji wa haki za binadamu za watu

wasagaji, mashoga, wanaovutiwa kimapenzi na watu

wa jinsia zote mbili na wenye jinsi mbili.

Chanzo: http://www.amnesty.org/en/library/info/

IOR40/004/2005.

Kanuni za Yokyakarta (2006)

Mwaka 2006, katika kukabiliana na mifumo

ya unyanyasaji iliyothibitishwa vizuri, kundi la

wataalamu wa kimataifa wa haki za binadamu

wenye sifa walikutana Yogyakarta, Indonesia

na kueleza kwa muhtasari kanuni za kimataifa

zinazohusiana na tabia ya mwenendo wa kufanya

mapenzi na utambulisho wa kijinsia. Matokeo

yake yalikuwa Kanuni za Yogyakarta: mwongozo

wa jumla wa haki za binadamu unaothibitisha

viwango vya kisheria vya kimataifa vyenye masharti

ambavyo mataifa yote lazima kuyazingatia. Zinaleta

matumaini tofauti kwa siku zijazo ambapo watu

wote waliozaliwa huru na wenye utu na haki sawa

wanaweza kupata haki hiyo ya thamani kutokana na

uzawa wake.

Chanzo: http://www.yogyakartaprinciples.org/

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 69

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!