16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Dibaji

Miaka mitano imepita tangu Mradi wa Watetezi wa

Haki za Binadamu Afrika ya Mashariki na Pembe

ya Afrika ulipochapisha toleo la kwanza la Kutetea

Haki za Binadamu: Kitabu cha Rejea kwa Watetezi

wa Haki za Binadamu. Baada ya hapo changamoto

mpya zimeendelea kukua na kutengeneza mazingira

ambayo watetezi wa haki za binadamu wanafanyia

kazi.

Nchi mbalimbali zinaendelea kutumia sheria

zenye vikwazo vinavyozuia uhuru wa kuendesha

kazi ya haki za binadamu. Hatua dhidi ya vitisho

zilizofikiria zaidi kuimarisha utekelezaji wa sheria ya

uhuru wa kuamua na kutumia mabavu, pamoja na

kupitiwa kwa mahakama katika upunguzaji uzito au

ucheleweshaji wa kesi zinazidi kutumika ili kuzuia

mbinu halali za uchunguzi na upinzani kutoka kwa

watendaji wa asasi za kiraia. Ushirikiano na nchi

za nje ina maana watetezi wa haki za binadamu

waliolazimishwa kuingia kizuizini wanaweza

kuendelea kunyanyasika hata katika nchi zao za

hifadhi. Sheria zisizothibitishwa kwa ajili ya asasi

zisizo za kiserikali zimekuwa zikitumika katika baadhi

ya kesi, kuzuia fursa za fedha na pia shughuli za haki

za binadamu, wakati sheria za vyombo vya habari

mara nyingi hutafsiriwa na kutumiwa kiholela na

kunyima uhuru wa kujieleza. Watetezi wa kundi la

wachache katika mwenendo wa kufanya mapenzi

wanaendelea kupigania wapate kutambuliwa

kwamba haki za wasagaji, mashoga, wanaovutiwa

kimapenzi na watu wa jinsia zote mbili, wenye jinsi

mbili na wa jinsi tata ni haki za binadamu, wakati

vitisho kutoka kwa watendaji wa serikali na wasio

wa serikali vimejenga pengo la uhasama kwa

watetezi hawa.

Wakati changamoto hizi zinabadilika, nyenzo

ambazo zipo kwa ajili ya watetezi wa haki za

binadamu pia zimeendelezwa na kuwa za kisasa

na za ufanisi zaidi. Matumizi kamili ya nyenzo hizi

kwa njia ya kimkakati ni changamoto na uwezekano

wa kuwapa nguvu watetezi madhubuti wa haki za

binadamu.

Kujihusisha na mifumo ya kimataifa na kikanda

ya haki za binadamu ni moja ya njia bora zaidi za

kujenga utumbuzi wa masuala ya haki za binadamu

na hata kuhitaji wadau wabeba majukumu

kushughulika rasmi. Sura ya 1 ina mjadala wa njia

hizi na matumizi yake ya ufanisi.

juhudi zao ziwe endelevu. Sura ya 2 na 3 zinahusu

usimamizi wa usalama na kupunguza mfadhaiko kwa

watetezi wa haki za binadamu kwa mtiririko huo.

Mikakati kwa ajili ya kuendesha kampeni inajadiliwa

katika Sura ya 4, ambayo imerekebishwa kwa

majadiliano ya nyenzo za vyombo vya habari vya

kijamii kwa ajili ya kufikia malengo ya utetezi katika

Sura ya 4.5.

Changamoto na mikakati maalum ya kutetea haki za

wanawake na haki za kundi la wachache katika tabia

ya mwenendo wa kufanya mapenzi zinashughulikiwa

katika Sura ya 5 na 6 kwa mtiririko huo.

Hatimaye viambatanisho vya rejea vimerekebishwa

kujumuisha machapisho yanayohusiana zaidi na

mashirika yanayoshughulika na watetezi wa haki za

binadamu.

Tumefurahi kuweza kufanikisha kitabu hiki

kupatikana kwa Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu,

Kiswahili, Kiamhari, na Kisomalia, hivyo

kufanya kiwafikie watu wengi katika kanda hii.

Tunamshukuru mfadhili wetu mkuu katika mradi

huu, Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo ya

Kimataifa la Uswidi.

Mradi wa watetezi wa Haki za Binadamu Afrika ya

Mashariki na Pembe ya Afrika unawashukuru kwa

dhati wote waliochangia kitabu hiki cha rejea kwa

maoni yao, hali kadhalika kwa kazi yao endelevu

katika huduma ya haki za binadamu.

Mradi wa watetezi wa Haki za Binadamu Afrika ya

Mashariki na Pembe ya Afrika unatoa kitabu hiki

kwa heshima ya wale wote waliopoteza maisha yao

katika kupigania haki za binadamu. Tuungane katika

kujenga maisha bora ya baadaye.

Hassan Shire Sheikh

Mkurugenzi Mtendaji / Mwenyekiti

Mradi/Mtandao wa watetezi wa Afrika ya Mashariki

na Pembe ya Afrika.

Matunzo binafsi na usalama wa kitaalamu kwa

watetezi wa haki za binadamu ni muhimu ili

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 1

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!