16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kijamii na haki za maendeleo ya jamii.

2. Hatua hizo ndani yake kwa pamoja na mengine kuhusu:

a) Uchapishaji, upatikanaji na usambazaji wa maandiko ya sheria za kitaifa na kanuni na zitumiwazo

na vyombo vya kimataifa vya haki za binadamu.

b) Haki ya kupata bila pasipo kikwazo (upungufu) maandiko yote ya kimataifa yanayohusu haki za

binadamu, ikiwa ni pamoja na taarifa zinazotolewa kila baada ya kipindi fulani na Dola toka vyombo

vilivyoanzishwa na vyombo vya kimataifa kuhusu makala za haki za binadamu ambazo ni wanachama;

pamoja na majumuisho ya majadiliano na taarifa maalum zilizoko katika taarifa ya vyombo

hivyo.

3. Dola inapaswa kuhakikisha na kuunga mkono, pale inapoona inafaa, uanzishwaji na maendeleo ya asasi

za kitaifa zinazojitegemea kwa kusudi ya kuendeleza na kulinda haki za binadamu na uhuru wa msingi

katika eneo lake lote la utawala, hata kama ni mchunguzi wa haki za binadamu, tume ya haki za binadamu

au asasi ya aina yoyote ya kitaifa.

Ibara 15

Dola inao wajibu wa kukuza na kutoa mafundisho ya haki za binadamu na uhuru wa msingi katika ngazi

zote za kielimu na kuhakikisha kwamba wote wanaohusika kuwafundisha mawakili, wasimamizi wa sheria,

waajiriwa wa majeshi ya ulinzi na usalama na watumishi wa umma wanajumuisha mafundisho sahihi yanayohusu

haki za binadamu katika taaluma husika.

Ibara 16

Watu binafsi, asasi zisizo za kiserikali na asasi zingine husika zina dhima/wajibu wa kutoa mchango wa

kuuelimisha umma ili ujue maswali yanayohusiana na haki zote za binadamu na uhuru wa msingi kupitia

mambo mbalimbali kama vile elimu, utafiti na ufundishaji katika maeneo ili kuimarisha zaidi pamoja na

mambo mengine, ueleo, uvumilivu, amani, na uhusiano wa kirafiki kati ya mataifa na kati ya jamii na vikundi

vya kidini, kwa kuzingatia tofauti za kijamii na kijumuiya ambamo hufanya kazi zao.

Ibara 17

Katika kutekeleza zoezi la haki na uhuru unaotajwa katika Azimio la sasa, kila mmoja, anayehusika binafsi au

katika ushirikiano na wengine, atawajibika kwa kikomo kulingana na masharti husika ya kimataifa yaliyowekwa

kwa mujibu wa sheria hizo kwa kusudi ya kuwa na hakika kutambuliwa na kuheshimiwa haki na uhuru

wa wengine na matakwa ya uadilifu, utulivu na ustawi kwa ujumla katika jamii iliyo ya kidemokrasia.

Ibara 18

1. Kila mtu anao wajibu ndani ya jamii ambamo ndani yake ndimo uhuru na maendeleo ya utu wake inapowezekana

kukua kikamilifu.

2. Watu binafsi, vikundi, taasisi na asasi zisizo za kiserikali zinao wajibu muhimu katika kuchangia na

kulinda demokrasia, kulinda haki za binadamu na uhuru wa msingi na kutoa mchango ili kukuza jamii za

kidemokrasia, taasisi na utendaji.

3. Watu binafsi, vikundi, taasisi na asasi zisizo za kiserikali zina wajibu muhimu pia katika kutoa mchango,

kadiri ifaavyo, kuendeleza haki za kila mtu kulingana na utaratibu wa kitaifa na kimataifa, ambamo

ndani yake vyombo vya haki na uhuru vinatambulika.

Ibara 19

Hakuna kitu chochote kile katika Azimio hili la sasa kinachopaswa kutafsiriwa kumaanisha kwamba mtu binafsi,

au kikundi au chombo cha kijamii au Dola yoyote kujiingiza kwa namna yoyote au kutenda tendo lolote

lililokusudiwa kuleta uharibifu wa haki na uhuru wa msingi kama inavyotajwa katika Azimio la sasa.

Ibara 20

Hakuna kitu chochote katika Azimio la sasa, kinachotafsirika kuruhusu Dola kuendeleza na kukuza

vitendo vya watu binafsi, vikundi vya watu binafsi, taasisi au asasi zisizo za kiserikali kinyume na masharti ya

Mkataba wa Umoja wa Mataifa.

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 53

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!