16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Ufafanuzi kwa Azimio juu ya Watetezi wa

Haki za Binadamu (2011)

‘Ufafanuzi wa Azimio kuhusu watetezi wa haki za

binadamu’ ni waraka wa kurasa 100 zinazohamishika

toka katika kompyuta, waraka ambao huelezea

haki zilizokubaliwa katika Azimio, kutokana zaidi

na taarifa iliyopokelewa na taarifa iliyotolewa na

Waandishi Maalum wawili kuhusu hali ya watetezi

wa haki za binadamu, Hina Jilani (2000-2008) na

Margaret Sekaggya (tangu 2008), katika kipindi cha

miaka kumi na moja iliyopita.

Toka haki ya kulindwa na uhuru wa maoni na

kujieleza hadi haki ya kuwasiliana na vyombo vya

kimataifa na kupata fedha, uchambuzi wa ‘ufafanuzi’

wa kile ambacho haki hizi zinahusika nacho na

kinachohitajika ili kuhakikisha utekelezaji wake. Pia

linashughulikia vikwazo vya kawaida na ukiukwaji

unaowakabili watetezi, na hutoa mapendekezo ya

kuwezesha utekelezaji wa Madola kwa kila haki.

za binadamu, ili kuimarisha msaada wa Norwei

wa nchi na nchi kwa ajili ya kundi hili. Lengo kuu la

miongozo hii ni kuisaidia Wizara ya Mambo ya Nje

na balozi za Norwei kuzipanga hatua kiutaratibu na

kuongeza juhudi za kuwasaidia watetezi wa haki

za binadamu na kazi yao. Moduli kuhusu watetezi

wa haki za binadamu kwa ajili ya kozi ya mafunzo

ya elektroniki ya Taasisi ya Huduma za Nje kuhusu

haki za binadamu pia imeanzishwa, kama hatua ya

kujenga uwezo.

Chanzo:http://www.regjeringen.no/en/dep/ud/

Documents/veiledninger/2010/hr_defenders_

guide.htmlid=633052

http://www.ohchr.org/

Documents/Issues/Defenders/

CommentarytoDeclarationondefendersJuly2011.pdf

Makosa ya Binadamu, Haki za Binadamu:

Mwongozo wa chombo cha haki za

binadamu cha Umoja wa Mataifa

Tume ya Haki za Binadamu ya Ireland ya Kaskazini

na Ulinzi wa Haki za British Irish (2011)

Huu ni mwongozo ambao utayasaidia mashirika

yasiyo ya kiserikali, wanasheria, na watu binafsi

kutumia njia zao kati ya mifumo mbalimbali ya haki

za binadamu ya Umoja wa Mataifa. Mifumo hii

inaweza kuonekana migumu kwa wale wasioizoea

lakini, kama mwongozo huu unavyoonyesha, kwa

kweli zinapatikana na ni rahisi kutumia. Ingawa

kimsingi ilikusudiwa wasomaji wa nchini Uingereza

na Ireland, sehemu kubwa ya taarifa na utambuzi

uliomo katika mwongozo huu utakuwa wa manufaa

kwa watu katika nchi nyingi duniani.

Chanzo: http://www.frontlinedefenders.org/

manuals/human-wrongs-human-rights

Nyingine

Jitihada za Norwei Kuwaunga Mkono

Watetezi wa Haki za Binadamu:

Mwongozo wa Huduma za Nje (2010)

Imeandaliwa miongozo kwa balozi zinazohusiana

na msaada wa Norwei kwa ajili ya watetezi wa haki

62

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!