16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

uliotambuliwa kwamba utasababishwa na madhara

hayo, lakini pia utayari wa kujiweka wazi katika

hatari, fidia inayopatikana kwa ajili ya kukubali kuwa

wazi hivi katika hatari, au haki katika uenezaji wa

hatari.

Kujiweka wazi katika hatari kila siku kunaweza

kujenga “tabia ya kutojihusisha” kwa uwazi,

ikihusisha na kukataa hatari, na ambayo humfanya

mtu binafsi kufanya kazi ya kawaida bila kuchukua

hatua za usalama na hata kukataa kuizungumzia

mada hii. 13

Kwa kuzingatia ukweli huu, wakati wa kushughulikia

masuala ya usalama na watetezi, ni muhimu

sana kuzingatia mtazamo hatari wa watetezi

(unaohusishwa na sababu za kijamii na za kikundi,

na tabia ya mtu binafsi) na kuzingatia pia dhana

kama kujituma kwa mtu binafsi na kwa kikundi, haki

za kijamii, uwezo wa uchambuzi, kufanya kazi kwa

ushirikiano, nk

Athari za matukio yanayotia uchungu

na kiwewe

Watetezi wa haki za binadamu ama hushuhudia

matukio ya kutia uchungu na kiwewe au wao huwa

wahanga wa matukio hayo: Athari zake huathiri

utimamu wa akili na tabia ya watetezi ya kikundi

na ya mtu binafsi. Matokeo ya kawaida ni kuzidiwa

na kazi kutokana na ongezeko la mahitaji ya kihisia

yanayohusishwa na matukio ya kutia uchungu na

kiwewe (hasira, kuchanganyikiwa, huzuni, nk).

Wakati mwingine watetezi hujisikia kuwa na hatia

kubwa (kwa kutoweza kuzuia tukio la kutia uchungu

na kiwewe) na kisha wanaweza kujenga tabia ya

hatari kubwa, 14 ambayo haiwezi kukabiliwa na

mikakati ya usalama ambayo haizingatii kipengele

cha kisaikolojia kinachohusiana na tabia kama hizo.

Uchambuzi wa mazingira ya kazi

Ni muhimu sana kujua na kuchambua mazingira

ya kazi ili kufafanua ni mikakati na miongozo ipi ya

usalama inayofaa kutumika. Vile vile, ni muhimu pia

kubashiri matukio yanayoweza kutokea siku zijazo,

ili kuzuia matendo ya watendaji wanaotumia silaha

ambao huwaweka watetezi katika hali ya hatari.

Hii inatuleta katika kipengele cha pili: haitoshi

kuchambua mazingira tu, kwani kuna haja ya

kufanya uchambuzi wa kubashiri, kuona jinsi

kila uhusishaji unavyofaa katika mazingira na

kuchunguza matendo wanayoweza kutenda

watendaji kuonyesha hisia zao katika hali hii kabla

13 Beristain (1999; uk. 48-9)

14 Beristain (1999)

ya hili kutokea (“jinsi wengine wanavyotuona”) na

kabla ya hizi shughuli.

Ni muhimu pia kuzingatia vipimo vya mazingira.

Tunaweza kufanya uchambuzi katika kiwango

kikubwa (kuchunguza nchi au kanda), lakini pia

inabidi kuchambua jinsi nguvu hizo zinavyofanya

kazi katika eneo ambamo sisi tunafanya kazi, hii ni

kusema, kujua nguvu ndogo ndogo. Kwa mfano,

wanamgambo katika eneo wanaweza kutenda kwa

njia tofauti na ile ambayo tunatarajia, kufuatia

uchambuzi wa kikanda au kitaifa, na ni muhimu

kuwa na ufahamu wa tabia hizi za asili.

Ni muhimu pia kuepuka kuwa na mtazamo wa

kudumu wa mazingira, kwa sababu huendelea na

kubadilika, na tunapaswa kuifanyia mapitio ya mara

kwa mara.

Ushirikiano katika eneo la kazi:

mamlaka, vikosi vya kuokoa maisha,

mfumo wa kijamii

Sababu ya msingi katika usalama (na kwa ujumla,

katika vipengele vyote vya kazi za kibinadamu) ni

ushirikiano wa kutosha (kwa kiwango kikubwa au

kidogo) katika eneo la kazi, kuanzisha na kudumisha

mawasiliano na mahusiano ya kutosha na mamlaka

mbalimbali, vikosi vya usalama, na mamlaka

fanisi, kwa kadri ya miundo ya kijamii iliyopo, iwe

katika ngazi ya jamii, mashirika yasiyo ya kiserikali,

makanisa, nk.

Ushirikiano wa usalama baina ya

mashirika yasiyo ya kiserikali na taasisi

nyinginezo

Ushirikiano halisi wa usalama baina ya mashirika

yasiyo ya kiserikali na taasisi nyingine mara nyingi

huwa na maendeleo duni, kutokana na ukosefu

wa taarifa, kuaminiana au maslahi, tofauti katika

madaraka na majukumu, nk

Nafasi za ushirikiano ambazo mashirika yasiyo ya

kiserikali na taasisi nyingine wanaweza kuunda,

hufanya uwezekano wa angalau hatua mbili za

ushirikiano wa vitendo katika suala la usalama:

a) Kupeana taarifa juu ya mabadiliko katika

mazingira ya kazi na katika matukio ya usalama.

b) Uundaji wa mikakati ya pamoja kwa ajili ya

matatizo ya usalama yanayofafanuliwa kama

vipaumbele.

Kwa kiwango cha chini, angalau hatua (a) inahitajika,

ingawa kwa dhahiri matokeo bora hutokea kwa (a)

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 15

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!