16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Wanawake Watetezi wa Haki za

Binadamu

Mwitikio wa Haraka kwa Wanawake Watetezi

wa Haki za Binadamu walio Hatarini: Kupanga

na Tathmini ya Awali

Chama cha Haki za Wanawake katika Maendeleo

(2011)

Chama cha Haki za Wanawake katika Maendeleo na

Muungano wa Kimataifa wa Wanawake Watetezi wa

Haki za Binadamu walifanya marekebisho makubwa

mbalimbali ya mwitikio wa haraka unaopatikana

kwa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu

walio hatarini duniani kote. Taarifa hii inaeleza aina

ya nyenzo na mikakati inayopatikana ili kukabiliana

na hali ya dharura ya vurugu dhidi ya Wanawake

Watetezi wa Haki za Binadamu na pia baadhi ya

mashirika ambayo huwapatia.

Chapisho hili ni sehemu ya mfululizo mpya ambao

Chama cha Haki za Wanawake katika Maendeleo

hutoa pamoja na Muungano wa Kimataifa wa

Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu. Malengo

ya mfululizo huu wa Wanawake Watetezi wa Haki

za Binadamu ni kuongeza ufahamu wa nyenzo

zilizopo kusaidia na kutetea Wanawake Watetezi wa

Haki za Binadamu na kuhakikisha kuwa wanawake

wanaharakati wa haki duniani kote wana taarifa

muhimu kwa kupata nyenzo hizi kwa urahisi.

Kiingereza: http://www.awid.org/Media/Files/

WHRD-Urgent-Responses-ENG

Kiarabu: http://www.awid.org/Media/Files/urgentresponses-arabic

Kuzifanya haki kuwa uhalisia – Mfuko wa vifaa

kwa ajili ya warsha kuhusu kukomesha ukatili

dhidi ya wanawake

Shirika la ‘Amnesty International’ (2004)

Mwongozo wa wajibu wa mataifa kuzifanya haki za

wanawake kuwa halisia - kutekeleza majukumu yao

chini ya sheria ya kimataifa ya mikataba na mila ili

kuheshimu, kulinda na kutekeleza haki za binadamu

katika sheria na vitendo.

Chanzo: http://www.amnesty.org/fr/node/867

Kitabu cha rejea kuhusu Wanawake Watetezi

wa Haki za Binadamu

Ushauri wa kimataifa kuhusu Wanawake Watetezi

wa Haki za Binadamu (2005)

Ukusanyaji wa makala zilizowasilishwa katika vikao

vya kwanza vya mkutano wa Ushauri wa Kimataifa

kuhusu Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu

uliofanyika Colombo, Sri Lanka kati ya tarehe 29

mwezi Novemba – tarehe 2 mwezi Desemba, 2005.

Makala hizi zimepangwa katika sehemu tano:

maelezo ya muktadha na mantiki ya kampeni,

historia na dhana ya istilahi, masuala muhimu

yanayowakabili wanawake watetezi wa haki za

binadamu, mapendekezo kwa ajili ya mikakati ya

ulinzi, na uwajibikaji kwa wanawake wanaofanya

kazi katika kutafuta haki.

Chanzo: http://www.forum-asia.org/p=5422.

Mapendekezo ya Utekelezaji Mahsusi wa Jinsia

wa Mwongozo wa Umoja wa Ulaya kuhusu

Watetezi wa Haki za Binadamu

Waraka huu wa rasimu unaonyesha mapendekezo

thabiti kwa ajili ya Balozi za wananchi wanachama

wa Umoja wa Ulaya (ikiwa ni pamoja na wajumbe

wa balozi mbalimbali na balozi ndogo za nchi

wanachama wa Umoja wa Ulaya na Tume ya

Ulaya) katika utekelezaji wa “Kuhakikisha ulinzi -

Miongozo ya Umoja wa Ulaya kuhusu Watetezi wa

Haki za Binadamu” (Miongozo ya Umoja wa Ulaya).

Imekusudiwa mahsusi kuhakikisha msaada stahiki na

ulinzi wa wanawake watetezi wa haki za binadamu.

Chanzo: http://www.omct.org/violence-againstwomen/statements/2006/11/d18321/

Mikakati ya Usalama ya Wanawake Watetezi

wa Haki za Binadamu: Msisitizo, Msimamo,

Upinzani, Uwepo

Mfuko wa ‘Urgent Action Fund’ (2008)

Upinzani hutuletea sauti za wanawake watetezi

wa haki za binadamu kutoka duniani kote. Kila

mwanamke anaongea kutokana na uzoefu wake

binafsi juu ya kupambana na ukatili na ubaguzi

katika mazingira magumu - katika hali ya migogoro

dhahiri au ya kificho, vurugu zilioandaliwa za

kutumia silaha pamoja na
kuongezeka kwa imani

kali ya kidini nchini Iran, Colombia, Nepal, Burma,

Thailand, Algeria, Tunisia, Bosnia, Serbia na Jamhuri

ya Kidemokrasia ya Kongo. Upinzani ni safari na

sherehe ya ujasiri. Mikakati ya kushangaza ambayo

huwawezesha wanawake watetezi wa haki za

binadamu kuishi, kustawi na kufanikiwa - licha ya

changamoto na hatari
za kazi hii, na ufinyu mkubwa

wa nyenzo na msaada. Upinzani hutambulisha

dhana ya ‘usalama unganishi’ – iliyobuniwa na

wanaharakati wa Colombia na kuungwa mkono na

wanawake watetezi wengine wa haki za binadamu

duniani kote: dhana ambayo hutupa changamoto

sisi kutafsiri upya dhana ya ‘usalama’ iliyofanywa

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 67

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!