16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

vya kiraia Wakati gani ni mzuri zaidi kutekeleza hili

Majibu ya maswali haya hutoa misingi ya mkakati wa

kampeni yako.

Kufanya kampeni mara nyingi sana inaweza kuelezwa

kama mazungumzo na jamii, kuwashawishi

watu kuwa na shauku isiyo ya kawaida katika kuunga

mkono kitendo ambacho hakitawanufaisha moja

kwa moja. Kampeni zina lengo la kuhamasisha na

kuchochea idadi kubwa ya watu na kama ikitumika

vizuri ni chombo kizuri kwa kuleta mabadiliko. Katika

kuanza kampeni yoyote inabidi kujenga mwamko,

yaani kuanzisha na kufanya ijulikane kuwa tatizo hilo

lipo. Pili, kuna haja ya kufanya umma na wale wote

wanaohusika kuwa na mwelekeo mmoja na kukubali

tatizo ni nini, nani anayeteseka, nani atupiwe lawama

na ufumbuzi gani unawezekana. Kisha litolewe

ombi au wito kwa umma kwa ujumla, mashirika

ya vyama vya kiraia vinavyohusika na wote wale

wanaohusika kujiunga na hili huhitaji chombo cha

kawaida kinachopatikana au utaratibu kabla ya kitendo

hatimaye kuchukuliwa. Katika suala la kampeni

dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kwanza

mtetezi wa haki za binadamu anahitaji kuwawezesha

au kuhakikisha kwamba kundi lengwa (watu binafsi

au umma kwa jumla) wanajua haki zao, wanakubali

kwamba haki zao zimekiukwa na inabidi kufanywa

kitu juu ya hilo na la muhimu zaidi inawezekana.

Wakati wa kuanza kampeni za kukomesha ukiukaji

wa haki za binadamu, mtetezi wa haki za binadamu

lazima aijue hadhira na aweze ‘kuwaelewa’. Ili

kufanikisha hili, ni muhimu kufanya “uchambuzi wa

wadau”. Kuna wale ambao tayari ‘wameshabadilika’

yaani watu ambao wanajua tayari juu ya tatizo hilo

na wanataka kuona mabadiliko. Inafaa kufanya

uchunguzi ambapo ushirikiano na makundi mengine

yanayohusika na mada yako na mitandao mingine

unaweza kuundwa. Kisha lipo kundi la wale ambao

ni vigumu sana kuwafikishia taarifa unayotaka

kuwapa kwa sababu wao hudhani kuwa wanajua

kila kitu juu ya madhumuni ya suala hili la haki za

binadamu. Wabunge wanaweza kuangukia katika

kundi hili. Muda na nguvu zitumike kwa kuelimisha

makundi yote haya juu ya ukweli na faida za

kampeni hii.

Mpango/nyenzo za mawasiliano ya

kampeni

Kuna nyenzo mbalimbali za kufanyia kampeni.

Ni muhimu kujifunza jinsi ya kutumia zana sahihi

kwa ajili ya kazi inayofanyika kwa kutumia taarifa

na rasilimali zinazopatikana. Moja ya nyenzo hizo

ni kuandika barua: barua hutumwa kwa hadhira

maalum kuhusiana na ukiukwaji na kufafanua wazi

tatizo hilo na nini kifanyike ili kufikia mabadiliko.

Ni rahisi kuziandika, binafsi na hutumia fursa

ya urasimu wa serikali (mara inapopokelewa au

kutumwa humfikia mwandikiwa moja kwa moja bila

kuambiwa njoo kesho) hata hivyo, wana mipaka

kama vile gharama kubwa za posta au viwango vya

chini vya kujua kusoma na kuandika katika baadhi

ya jamii ambazo zinaweza kuwaacha waunga mkono

maarufu.

Kushawishi huhusisha kutoa maoni na taarifa kwa

wafanya maamuzi ili kuwashawishi kwa hatua

unayotaka ichukuliwe. Hii mara nyingi ina maana

ya kuwasiliana na maafisa ambao kufanya sheria

na sera, na kuzungumzia matakwa na maoni,

kukabiliana na hoja za wapinzani, na kudhihirisha

msaada mkubwa kwa suala hilo.

Maombi ni ujumbe rasmi wa maandishi uliotolewa

kwa mamlaka kuomba kauli rasmi au hatua, pamoja

na orodha ya watiaji saini kwa ombi hilo. Kwa

kawaida huwa rahisi na wenye gharama nafuu

kupanga, huonyesha kiwango cha tatizo la umma na

ni njia rahisi ya kufanya watu watoe msaada wao.

Vyombo vya habari mara nyingi ni muhimu kwa ajili

ya kufanya kampeni kwa mafanikio. Moja ya njia

za kwanza kufanya vyombo vya habari vijue habari

zako ni kuwatumia barua pepe au taarifa waaandishi

wa habari kuwaeleza juu ya tukio au utekelezaji,

kusema ni nini kitafanyika na wapi. Toa kichwa cha

habari cha kuvutia kwa taarifa yako, kionekane na

kuunda matukio yanayofaa kuwa habari, wape watu

mafunzo ya jinsi ya kuzungumza na vyombo vya

habari na uwe na msemaji wa kampeni wa vyombo

vya habari ili kuepuka watu mbalimbali kutoa maoni

tofauti ambayo yanaweza kukwamisha kampeni. Njia

nyingine ya kutumia vyombo vya habari ni kwa njia

ya ziara za mazungumzo. Haya kwa mfano ni pamoja

na mnusurikaji wa ukiukwaji wa haki za binadamu

au mtetezi wa haki za binadamu kutoa maelezo ya

uzoefu na changamoto zake. Kwa kawaida ziara za

mazungumzo hulenga hadhira maalum kama vile

wanasheria, wabunge au wanavyuo. Kwa kawaida

hii huvutia vyombo vya habari, ambayo inamaanisha

kuwa ujumbe utaenea kwa hadhira kubwa zaidi.

Unapotumia nyenzo hii kwa ajili ya kampeni,

inabidi kuzingatia mambo mengi kama vile aina ya

hadhira inayolengwa, jinsi ya kupanga maneno ya

ujumbe na jinsi vituo mbalimbali vya vyombo vya

habari vinavyofanya kazi. Kwa mfano, kuna vituo

vya redio ambavyo huwalenga vijana hivyo huifikia

hadhira ya vijana. Kutumia vituo hivi ingemaanisha

kundi lengwa lako inabidi liwe vijana. Inabidi pia

kufanyia utafiti njia za kutumia vyombo vya habari

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 29

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!