Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kiambatanishi cha 3

Rasilimali kwa Watetezi wa Haki za Binadamu

Ulinzi na Usalama kwa Watetezi wa

Haki za Binadamu

Kiongozi kipya cha Ulinzi kwa Watetezi wa

Haki za Binadamu

Ulinzi wa Kimataifa (2009)

Madhumuni ya kiongozi hiki kipya ni kuwaongezea

watetezi wa haki za binadamu maarifa na

nyenzo ambazo zinaweza kuwa za manufaa kwa

kuboresha uelewa wao juu ya usalama na ulinzi.

Kuna matumaini kwamba kiongozi hiki kitasaidia

mafunzo juu ya usalama na ulinzi na kuwasaidia

watetezi kufanya tathmini zao wenyewe za hatari

na kufafanua kanuni na taratibu za usalama na

ambazo zitaambatana na mazingira yao maalum.

Kiongozi hiki ni matokeo ya uzoefu wa pamoja

wa zaidi ya miaka 25 wa wajumbe wa Ulinzi wa

Kimataifa katika kufanya kazi na haki za binadamu

na sheria ya kibinadamu na katika ulinzi wa watetezi

wa haki za binadamu na makundi mengine yenye

mazingira magumu. Uzoefu wa wajumbe wa

Ulinzi wa Kimataifa unatokana na kujihusisha na

kushiriki kwao kwa mara ya kwanza katika Vikosi

vya Amani vya Kimataifa - kazi na muundo wa ugani

wa Vikosi vya Amani vya Kimataifa. Tumekuwa

na fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na

maarifa na mamia ya watetezi ugani, hali kadhalika

katika warsha, mikutano na majadiliano juu ya

usalama. Mengi ya maudhui ya kiongozi hiki tayari

yameshatumika kwa vitendo, ama katika kazi ya

ulinzi au katika warsha za mafunzo na watetezi.

Kiongozi hiki ni matunda ya majadiliano yote haya,

na tuna deni kubwa kwa watetezi walioshiriki kwa

mchango wao.

Chanzo: http://www.protectionline.org/New-Protection-

Manual-for-Human

Kitabu cha mafunzo kuhusu usalama: Hatua

thabiti kwa watetezi wa haki za binadamu

walio hatarini

’Front Line’ (2011)

Kitabu cha mafunzo kuhusu Usalama kimebuniwa

ili kuinua mwamko katika masuala ya usalama

na kuwasaidia watetezi wa haki za binadamu

kufikiria namna ya kupunguza vitisho. Kitabu

hiki kinawasaidia watetezi wa haki za binadamu

kujifunza hatua za kuunda mpango wa usalama -

kwa watu binafsi na kwa mashirika. Kinafuata njia

ya utaratibu wa kutathmini hali ya usalama wao na

kuendeleza mikakati na mbinu za kupunguza hatari

na uwezekano wa kupata madhara.

Chanzo: http://www.frontlinedefenders.org/files/

Workbook_ENG.pdf

Usalama katika Kisanduku

’Front Line’ na Mbinu za Pamoja za Teknolojia

(2011)

Usalama katika sanduku-ni juhudi za Mbinu za

Pamoja za Teknolojia na ‘Front Line’. Iliundwa ili

kutimiza mahitaji ya usalama na faragha ya mfumo

wa kupokea na kutuma taarifa kwa tarakimu, ya

mawakili na watetezi wa haki za binadamu. Usalama

katika kisanduku ni pamoja na Jinsi ya kuandaa

kijarida, ambayo inazungumzia masuala kadhaa

muhimu ya usalama wa mfumo wa kupokea na

kutuma taarifa kwa tarakimu. Pia hutoa mkusanyiko

wa Miongozo-kwa-Vitendo kila mmoja ukiwa na

programu fulani ya kompyuta isiyolipiwa au chombo

cha programu ya kompyuta ya chanzo wazi, pamoja

na maelekezo ya jinsi ya kutumia chombo hicho

kulinda kompyuta yako, kulinda taarifa zako au

kudumisha faragha ya mawasiliano yako ya Intaneti.

Chanzo Rasmi: http://security.ngoinabox.org/

Kiingereza: https://security.ngoinabox.org/en

Kifaransa: https://security.ngoinabox.org/fr

Kiarabu: https://security.ngoinabox.org/ar

Mwongozo makini wa Kulinda Usalama wa

Utambulisho wako na Dhamana ya Mtandao

wa Intaneti Wakati wa Kutumia Simu za

Mkononi (2011)

Mwongozo huu umeandikwa kwa ajili ya raia

wa Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, ambao

wanataka kutumia teknolojia kwa usalama

kuwasiliana, kupanga, na kupeana data (taarifa

mpya, habari, vyombo vya habari nk), lakini inaweza

kutumiwa na mtu yeyote katika mtandao wa intaneti

anayetaka kulinda faragha na usalama wake mahali

popote. Umeandikwa kwa ajili ya hadhira kubwa

iliyo na elimu ya wastani ya kompyuta, ambao

wangependa kujua hatua wanazoweza kuchukua ili

kuwa salama zaidi katika mtandao wa intaneti na

wakati wa kutumia vyombo vya simu za mikononi.

Mwongozo huu una vidokezo na nyenzo za

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 63