Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Tovuti rasmi: http://www.achpr.org/english/_info/

charter_en.html

Chanzo cha Kifaransa: http://www.achpr.org/

francais/_info/charter_fr.html

Mwongozo wa Mkataba wa Afrika wa

Haki za Binadamu

Shirika la ‘Amnesty International’ (2006)

Watetezi wa Haki za binadamu na mashirika yasiyo

ya kiserikali katika Afrika wanaweza kuimarisha

kazi yao ya kuiwajibisha serikali kwa kushirikiana

na Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na

Haki za Watu. Mwongozo huu wa Tume ya Afrika

unakusudia kuyasaidia mashirika yasiyo ya kiserikali

katika Afrika na watetezi wengine wa haki za

binadamu kufikiwa na Tume ya Afrika katika kusaidia

kazi yao. Ni mwenza wa Mwongozo wa Mkataba wa

Afrika wa Haki za Binadamu na Haki za Watu.

Chanzo Rasmi: http://www.amnesty.org/en/library/

info/IOR63/005/2007

Kiingereza: http://www.amnesty.org/en/library/

asset/IOR63/005/2007 /en/6796e85a-d36a-11dda329-2f46302a8cc6/ior630052007en.pdf

Kiarabu: http://www.amnesty.org/en/library/asset/

IOR63/005/2007 /en/0af52585-9319-4850-b08ad648d53da5d630052007ara.pdf

Kifaransa: http://www.amnesty.org/en/library/

asset/IOR63/005/2007 /en/0df88665-58ec-4214-

aa0f-034a0/ior630052007fra.pdf

Kuadhimisha Mkataba wa Afrika ifikapo

miaka 30: Mwongozo wa Mfumo wa

Afrika wa Haki za Binadamu

Kituo cha Haki za Binadamu katika Chuo Kikuu cha

Pretoria & Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na

Haki za Watu (2011)

Mwongozo huu unatoa historia fupi ya Mkataba

wa Afrika, inatathmini mafanikio ya Tume ya Afrika

kuhusu Haki za Binadamu na Haki za Watu, chombo

chake cha ufuatiliaji, na kuonyesha changamoto za

baadaye. Ingawa Tume ya Afrika hadi sasa kimekuwa

chombo cha msingi cha haki za binadamu katika

Afrika, imekuwa ikikamilishwa na Mahakama ya

Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Haki za Watu

na Kamati ya Wataalamu wa Afrika kuhusu Haki

na Ustawi wa Mtoto. Vyombo hivi na hati zao za

uanzilishi pia hujadiliwa ili kutoa picha ya jumla ya

mfumo wa Afrika ya haki za binadamu.

Chanzo cha Kiingereza: http://www.pulp.up.ac.za/

pdf/2011_13/2011_13.pdf

Chanzo cha Kifaransa: http://www.pulp.up.ac.za/

pdf/2011_14/2011_14.pdf

Mwandishi Maalum wa Tume ya Afrika

kuhusu Haki za Binadamu na Haki

za Watu juu ya Watetezi wa Haki za

Binadamu barani Afrika

Sawa na mfumo wa Umoja wa Mataifa wa taratibu

maalum ya (vikundi vya kazi, wataalamu wa

kujitegemea na Waandishi maalum), Umoja wa

Afrika pia una taratibu maalum za mada. Mwandishi

maalum huyu hufanya kazi juu ya suala la watetezi

wa haki za binadamu katika Afrika.

Tovuti Rasmi: http://www.achpr.org/kiingereza/_

info/index_hrd_en.html

Azimio la Tume ya Afrika ya Haki za

Binadamu na Haki za Watu kuhusu

Ulinzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu

Barani Afrika

Azimio hili ni waraka rasmi ambao unampa

madaraka Mwandishi Maalum kuhusu Watetezi wa

Haki za Binadamu.

Chanzo Rasmi: http://www.achpr.org/english/_info/

hrd_res_appoin_3.html

Umoja wa Ulaya

Miongozo ya Umoja wa Ulaya kuhusu

Watetezi wa Haki za Binadamu

Msaada kwa ajili ya watetezi wa haki za binadamu

tayari ni jambo la muda mrefu la sera ya mahusiano

ya nje ya haki za binadamu ya Umoja wa Ulaya.

Madhumuni ya Miongozo hii ni kutoa mapendekezo

yanayotekelezeka kwa ajili ya kuimarisha utekelezaji

wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na suala hili.

Miongozo hii inaweza kutumika katika mawasiliano

na nchi zinazoendelea katika ngazi zote pamoja

na mikutano ya kimataifa ya haki za binadamu, ili

kusaidia na kuimarisha juhudi zinazoendelezwa na

Umoja huu kuendeleza na kuhimiza heshima ya haki

ya kutetea haki za binadamu.

Chanzo: http://www.consilium.europa.eu/uedocs/

cmsUpload/GuidelinesDefenders.pdf

60

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili