16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

zaidi ni muhimu ili kufanya njia ya kuingiza

hilo akilini mwa watu. Shirika la ‘Amnesty

International’ katika kitabu chake cha

“Mwongozo 61 wa kuendesha Kampeni” linatoa

sura juu ya jinsi ya kufanya kampeni kuhusu

haki 62 za wafanyao mapenzi kinyume cha

desturi. Utafiti uliofanywa na mfuko wa ‘Urgent

Action Fund’ kwa ajili ya Haki za Binadamu

za Wanawake ulioitwa ‘LGBTI Organizing in

East Africa: The True Test for Human Rights

Defenders’(Maandalizi ya wafanyao mapenzi

kinyume cha desturi katika Afrika Mashariki:

Jaribio la kweli kwa Watetezi 63 wa Haki za

Binadamu)” hutoa mafundisho kutokana na

uhamasishaji wa haki za wafanyao mapenzi

kinyume cha desturi Kusini mwa Afrika na

kutoa mapendekezo ya jinsi ya kuendeleza

wazo la haki zao katika mazingira ya Afrika ya

Mashariki. Mwaka 2010 Ulinzi wa Kimataifa

ilichapisha kitabu cha mwongozo kwa ajili ya

wanaharakati wafanyao mapenzi kinyume cha

desturi na kinachoitwa ‘Protection Manual for

LGBTI Defenders ‘ (Mwongozo wa Ulinzi kwa

Watetezi 64 wa wafanyao mapenzi kinyume cha

desturi) ambacho husaidia kubaini vitisho vya

usalama ambavyo ni maalum kwa watetezi

wafanyao mapenzi kinyume cha desturi, na

kutoa hatua za vitendo vya jinsi ya kuboresha

usalama binafsi. Pia mwaka 2010, ‘G-Kenya

Trust’ ilichapisha ‘My way, your way, or

the RIGHT way’(Njia yangu, njia yako, au

njia 65 SAHIHI), kitabu kinachoelezea haki

zilizokusanywa katika kanuni za Yogyakarta

zinazofaa katika muktadha wa Kenya.

wao, watetezi wa haki za wafanyao mapenzi

kinyume cha desturi, kuna changamoto nyingi

katika kufikia makubaliano ya jumla ya haki

za wafanyao mapenzi kinyume cha desturi

kama haki za binadamu ingawa maendeleo

yamepatikana katika miaka ya hivi karibuni.

Wakati changamoto hizi zinashughulikiwa kwa

ushirikiano na watetezi wa haki za binadamu

za kawaida pamoja na za wafanyao mapenzi

kinyume cha desturi, ukiukaji wa haki za

wafanyao mapenzi kinyume cha desturi kama

vile sheria na matendo ya kibaguzi yanaweza

kushughulikiwa kwa ufanisi zaidi.

Kwa muhtasari, watu wafanyao mapenzi

kinyume cha desturi hukabiliwa na ukiukaji

wa haki zao za msingi katika Mashariki na

Pembe ya Afrika kote. Kwa upande wa watetezi

61 Amnesty International (2001) Campaigning Manual. Amnesty

International Publications. http://web.amnesty.org/

pages/campaigning-manual-eng

62 Angalia pia kifungu kuhusu kuendesha kampeni katika

makala hii

63 Mfuko wa ‘Urgent Action Fund kwa Haki za Binadamu za

Wanawake

64 Inapatikana katika: http://www.protectionline.org/Protection-Manual-For-LGBTI.html

65 G-Kenya Trust (2010). My way, your

way, or the RIGHT way Nairobi. Kinapatikana katika:

www.gaykenya.com/GKTBOOK.pdf

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 47

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!