16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

na (b), lakini ni vigumu kutekeleza na kudumisha

hatua hii ya ushirikiano kwa sababu zilizotajwa

kabla, na kwa nyingine, ambazo ni zaidi ya kikomo

cha urefu wa makala hii kueleza. Hata hivyo,

kupeana taarifa na mikakati ya pamoja ni chombo

madhubuti kwa kuboresha usalama wa watetezi wa

haki za binadamu.

Kukabiliana na mikakati: usimamizi wa

hatari wa kundi

Makundi yaliyo katika tishio hutumia mikakati

mbalimbali ya kukabiliana ili kupunguza hatari

iliyotambulika. Mikakati hii itakuwa tofauti

sana kutegemeana na mazingira (vijijini, mijini),

aina ya tishio, rasilimali za kijamii, kiuchumi na

kisheria zilizopo, n.k Mingi ya mikakati hii inaweza

kutekelezwa mara moja na kutimiza malengo ya

muda mfupi, hivyo kuwa mbinu zaidi kuliko mikakati

iliyoundwa kwa makini. Mingi ya mikakati hii

hushughulikia mitizamo binafsi, na wakati mwingine

mikakati ya kukabiliana inaweza kusababisha

kiwango fulani cha madhara kwa kikundi, hasa

iwapo mikakati hiyo haibadiliki.

Mikakati ya kukabiliana inahusiana kwa karibu na

aina na ukali wa tishio na uwezo na udhaifu wa

kikundi.

Tunaposhughulikia ulinzi, inabidi tuzingatie mikakati

ya kukabiliana, kuimarisha ile inayofaa, tukijaribu

kudhibiti ile yenye madhara na kuiheshimu iliyobaki

(hasa ile inayohusiana na dhana za kitamaduni au

imani za kidini).

Kati ya mikakati ya kukabiliana nayo tunaweza

kuorodhesha:

• Kuimarisha vikwazo vya ulinzi, vikifichwa vile

muhimu.

• Kuepuka tabia ambazo zinaweza kutiliwa shaka

na mtendaji mmoja au mwingine anayetumia

silaha (hasa ikiwa mamlaka ya kijeshi ya mahali

ambapo kundi linaishi ina mgogoro).

• Kutumia sehemu mbalimbali za kujificha nyakati

za hatari kubwa (sehemu zenye ugumu kufikika,

kama milima au misitu), kuishi katika nyumba

tofauti, n.k Wakati mwingine familia nzima

hujificha, wakati mwingine watetezi tu hufanya

hivyo. Kujificha kunaweza kufanyika wakati wa

usiku, au kwa kipindi cha wiki kadhaa.

• Mazungumzo na nchi au serikali au watendaji

wanaotumia silaha kisheria.

• Kutoa mashitaka kwa vyombo vya sheria au kwa

maoni ya wananchi.

• Kushirikiana (na makundi mengine yaliyo katika

hali kama hiyo), kutoa malalamiko ya pamoja,

kufanya maandamano, n.k.

• Kuanzisha (au kuendeleza) “maeneo salama”.

• Kutafuta ulinzi wa kutumia silaha au wa kisiasa

kwa mmoja wa watendaji wa kutumia silaha.

• Kufanya uhamisho wa lazima (kuhamishia makazi

mengine au kutoa hifadhi), familia kwa familia

au uhamiaji mkubwa. Uhamisho unaweza kuwa

uliopangwa au ukimbiaji wa haraka.

Wakati wa kuchambua mikakati ya kukabiliana,

tunapaswa kuzingatia mambo yafuatayo:

• Unyeti: Ikiwa mikakati ya kukabiliana ina uwezo

wa kushughulikia haraka mahitaji ya usalama wa

kikundi.

• Urekebikaji: iwapo mikakati ya kukabiliana

huwezesha mabadiliko ya haraka kwa ajili

ya kukabiliana na hali mpya, mara hatari ya

mashambulizi inapokwisha (kwa mfano, mtetezi

anaweza kuwa na chaguzi kadhaa, kujificha

au kuishi kwa muda katika nyumba za watu

wengine). Mikakati hii inaweza kuonekana dhaifu

au isiyo madhubuti, lakini mara nyingi hudumu

kwa muda mrefu.

• Uendelevu: uwezo wa kudumu kwa muda, licha

ya vitisho au mashambulizi yasiyoua.

• Ufanisi: uwezo wa kutosha kulinda.

• Ubatilikaji.

Kuwalinda wengine

Kwa madhumuni ya kitabu hiki, ulinzi tutauelewa

kama, shughuli ambazo zinaweza kufanywa ili

kuchangia usalama wa watu wengine. Ulinzi wa

usalama wa pande mbili unakuwa pande mbili za

sarafu moja, ili waweze kushirikiana uchambuzi

na mikakati. Hata hivyo kwa mtizamo wa kusudio,

wanatofautiana katika baadhi ya mbinu na taratibu

fulani.

Watetezi, katika kudhibiti usalama wao wenyewe,

hufanya shughuli za ulinzi kwa ajili ya wengine:

watetezi wengine, wahanga, sekta za kijamii, n.k

Kwa njia hiyo hiyo, vyombo vingine (kwa mfano

mashirika ya kimataifa yasiyokuwa ya kiserikali)

hufanya shughuli za ulinzi kwa ajili ya watetezi.

16

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!