Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kiambatanishi cha 2

Rejea kuhusu Taratibu za Kimataifa na Kikanda

Taratibu za Kikanda na Kimataifa

Tume ya Afrika Kuhusu Haki za

Binadamu na Haki za Watu

Ikiwa imeanzishwa na Mkataba wa Afrika kuhusu

Haki za Binadamu na Haki za Watu, Tume hii

ilianza kutumika tarehe 21 Oktoba, 1986 baada ya

kupitishwa jijini Nairobi (Kenya) mwaka 1981 na

Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Shirika

la Umoja wa Afrika, Tume ya Afrika ya Haki za

Binadamu na Haki za Watu inahusika na kuhakikisha

uendelezaji na ulinzi wa Haki za Binadamu na Haki za

Watu katika Bara la Afrika. Tume hii ina makao yake

makuu mjini Banjul, Gambia.

African Commission on Human and Peoples’ Rights

31 Bijilo Annex Layout, Kombo North District

Western Region

S.L.P. 673

Banjul, Gambia

Barua pepe: achpr@achpr.org

Simu: (220) 4410 505/4410 506

Faksi: (220) 4410 504

Tovuti rasmi: http://www.achpr.org

Mwongozo kwa ajili ya Ushiriki katika

Chama cha Kiraia: Utaratibu wa Nchi wa

utoaji Taarifa ya Tume ya Afrika kuhusu

Haki za Binadamu na Haki za Watu

Huduma za Kimataifa za Haki za Binadamu,

Chama cha Haki, Amani na Demokrasia, na Haki za

Binadamu za ‘Conectas’ (2011)

Mkataba wa Afrika hutoa majukumu maalum ya

Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika ili kutekeleza

Mkataba wa Afrika katika ngazi ya nchi. Hasa, kila

mwakilishi wa nchi atawasilisha kila miaka miwili,

kuanzia tarehe Mkataba unapoanza kutumika,

taarifa juu ya hatua za kisheria au nyinginezo

zilizochukuliwa, kwa lengo la kutimiza haki na

uhuru unaotambuliwa na ulioahidiwa na Mkataba

huo (Kifungu cha 62). hutoa fursa ya kutathmini

hatua za Serikali ili kuendeleza haki zilizolindwa

katika Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na

Haki za Watu na itifaki zake, kubaini vikwazo ili

kufanikisha haki hizi, na kuandaa mapendekezo

kwa ajili ya kuboresha utekelezaji wake nchini.

Ushiriki wa vyama vya kiraia ni muhimu kwa ajili

ya kutofautisha na taarifa ya serikali, kuhakikisha

kuwa Tume ina picha sahihi ya hali ya mahali husika

na watu wake. Kwa ujumla, wawakilishi wa Serikali

wameonyesha ushiriki duni katika mchakato huu:

taarifa za wawakilishi wa nchi wengi zimepitwa na

wakati; Serikali zinashindwa kushiriki kikamilifu

katika Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Haki

za Watu; na Tume haina uwezo wa kuhakikisha

ufuatiliaji unaofaa na utekelezaji wa mapendekezo

yake. Kwa kiasi kikubwa, vyama vya kiraia vichache

hushiriki mara kwa mara katika vikao vya Tume ya

Afrika ya Haki za Binadamu na Haki za Watu na vile

vinavyoshiriki mara nyingi havizingatii utaratibu

wa utoaji wa taarifa za Nchi. Zaidi ya hayo, ushauri

unaopatikana juu ya ushiriki wa vyama vya kiraia

kwa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Haki

za Watu hautilii sana maanani utaratibu huu.

Mwongozo huu ni juhudi za kukabiliana na pengo

hili na kuhamasisha vyama vya kiraia kushiriki

kwa kiwango cha juu zaidi katika mchakato huu.

Inatoa taarifa za msingi, ikielezea changamoto na

kushirikiana vidokezo vinavyohusu uzoefu halisi toka

kwa vyama vya kiraia vinavyofanya kazi na Tume ya

Afrika ya Haki za Binadamu na Haki za Watu.

Chanzo: http://www.ishr.ch/component/docman/doc_

download/1325-road-map-to-the-ahcpr-english

Kifaransa: http://www.ishr.ch/component/docman/doc_

download/1326-roadmap-to-the-achpr-french

Kanuni za Utaratibu wa Tume ya Afrika

ya Haki za Binadamu na Haki za Watu

Kanuni za utaratibu huimarisha miongozo ya

utendaji wa siku hadi siku ya Tume ya Afrika kuhusu

Haki za Binadamu na Haki za Watu. Hii ni pamoja

na muundo wa Tume, mamlaka yake, na utoaji wa

taarifa na taratibu ndogo.

Chanzo: http://www.achpr.org/english/ROP/Rules%

20of% 20Procedure.pdf

Mkataba wa Afrika kuhusu Haki za

Binadamu na Haki za Watu

Mkataba wa Afrika kuhusu Haki za Binadamu na

Haki za Watu (Mkataba wa Banjul), ambao ulianza

kutumika mwaka 1986, ni chombo muhimu zaidi cha

haki za binadamu katika ngazi ya kanda.

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 59