Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
• Huduma za elimu, afya na jamii zipo na

hupatikana - haitoshi kuwa na kliniki ambayo

imebobea katika urekebishaji wa wanusurikaji

wa mateso. Kliniki lazima pia ifikike kisiasa,

kijiografia na kifedha.

• Hujenga mazingira ya kuanzisha suluhisho la

kijamii.

• Huanzisha mazoea ya kumbukumbu ili

kuwatambua wahanga na wale waliokufa.

Aina Anuai za Huduma

Tukipanua makundi ya mshikamano katika makundi

mengine zaidi ya msaada, aina mbalimbali za huduma

huundwa na mambo mengine mengi ambayo

ni muhimu kuzingatiwa

huibuka. Mambo haya mapya ni pamoja na:

Msaada

Binafsi

(Marafiki,

Burudani )

Mitandao ya

Familia

(Nyumba

Salama)

Huduma

Maalum

Msaada wa

Taasisi

(Hospitali,

Schools)

Mashirika ya

Jamii

(Mashirika

Yasiyo ya

Kiserikali)

© Kituo cha Kanada kwa Wahanga wa Mateso, Toronto - Kanada 2005

Kutafsiri aina anuai za huduma katika upeo wa utoaji

huduma unganifu na mtindo sahihi wa maendeleo

ya jamii, upanuzi zaidi wa makundi unahitajika.

Hili ni muhimu katika kuhakikisha uhamaji kutoka

kwenye kundi la uwezeshaji binafsi ambapo

mitazamo binafsi ya uwezo inaendelezwa kuwa

kundi la maendeleo ya kundi dogo. Misaada yao

ya kijamii huleta mabadiliko binafsi ya tabia na

kulifanya kundi kuwa kundi la shirika la kijamii

ambalo huendeleza au huanzisha hatua za ndani

kuhusu masuala ya kijamii yaliyofafanuliwa,

huendeleza mazungumzo ya kijamii/kitaalam,

huibua migogoro kwa ngazi inayotambua. Hii

kwa kawaida huimarisha uhusiano na makundi

mengine ya jamii, hivyo kuunda kundi linalofuata

la umoja na utetezi, kushawishi kwa ajili ya sera

madhubuti zaidi za afya ya jamii, katika kufikia

makubaliano ya kimkakati na yanayofaa kwa

ushirikiano na ufumbuzi wa migogoro. Mara nyingi

kundi la tano la utekelezaji wa kisiasa huhitajika ili

kukamilisha mnyororo wa makundi ambayo tena

huishia katika hali ya uwezeshaji binafsi. Hatua

hizi za kisiasa huunga mkono harakati kubwa

zaidi za kijamii, na kujenga mtazamo endelevu wa

baadaye, unaopendelewa na demokrasia shirikishi

iliyoimarishwa.

Mkakati uliofuatiwa na Kituo cha Kanada kwa

Wahanga wa Mateso kuhakikisha kuwa michakato

ya hapa chini inafanyika ni pamoja na huduma

zilizoundwa mahsusi kama vile ushauri nasaha wa

makazi, Kiingereza kama lugha ya pili (iliyobuniwa

kwa ajili ya wanusurikaji waliopata kiwewe),

wanajamii waliofanya urafiki na viungo na huduma

za kitaalamu kwa ajili ya tiba na/au hati halali

za utibabu. Makundi ya misaada ya pamoja

(msaada wa wenzi) inayoendelea pia huwaandaa

wanusurikaji kujihusisha na mfumo mkubwa

zaidi kama ulioelezwa hapo juu. Wakati huduma

za Kituo cha Kanada kwa Wahanga wa Mateso

zimeundwa kwa ajili ya wanusurikaji wa mateso

ambao kwa kawaida huja Kanada kama wakimbizi

(hivyo hupata ushauri wa makazi na mafunzo

ya lugha), jinsi jamii na uanzishaji wa kisheria

wa utibabu yanavyohusishwa katika mchakato

wa urekebishwaji yana umuhimu maalum kwa

watetezi wa haki za binadamu. Mingi ya miundo

iliyoonyeshwa hapo juu, inaweza kutumika kwa

mafanikio kukidhi mahitaji ya watetezi wa haki za

binadamu wanaofanya kazi mahali hapo. Msaada

wa wenzi unaoendelea umethibitisha kuwa muhimu

kwa mchakato wa uponyaji hali kadhalika kama

viungo vya kuimarisha uhusiano na jamii kwa

ujumla. Hata hali inapoonekana kukatisha tamaa

kabisa, haiwezekani kupata marafiki miongoni

mwa watu wa kawaida hali kadhalika wale walio

katika nafasi za uwezo au mamlaka ambao

wanakuhurumia. Kuzingatia mahusiano haya na

kuweza kutambua wakati wa kutokea ni chombo

muhimu katika mchakato wa uponyaji. Elimu kwa

umma na ushirikiano wa kimataifa ni njia muhimu

ambazo zimefanya Kituo cha Kanada kwa Wahanga

wa Mateso kijihusishe na jamii na kuhakikisha

kuwepo kwa mahusiano na masuala makubwa zaidi

ambayo yanahitaji utekelezaji wa kisiasa. Kujihusisha

si tu katika jamii unayoishi, bali kubwa zaidi, la

kimataifa pia litaboresha athari na aina mbalimbali

za mapambano kwa ajili ya haki za binadamu.

Kile ambacho hakiwezi kukamilika pekee na kwa

kutengwa kitafanikiwa katika mtandao mzima wa

msaada. Huu ni ukweli kwa uponyaji na kwa ajili ya

kazi yenyewe ya haki za binadamu.

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 23