Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
• Kutafuta, kupata, kupokea na kuhifadhi taarifa

zinazohusiana na haki za binadamu;

• Kujenga na kujadili mawazo na kanuni mpya za

haki za binadamu na kutetea kukubalika kwake;

• Kuwasilisha maoni na mapendekezo kwa

mabaraza na wakala wa serikali na mashirika

yanayohusika na masuala ya umma kwa ajili

ya kuboresha utendaji wake wa kazi na kuleta

umakini kwa kipengele chochote cha kazi yao

ambao unaweza kuzorotesha utekelezaji wa haki

za binadamu;

• Kutoa malalamiko kuhusu sera rasmi na

vitendo vinavyohusiana na haki za binadamu na

malalamiko hayo kuchunguzwa;

• Kutoa mapendekezo na msaada wa kisheria

wenye sifa za kitaalamu au ushauri na msaada

mwingine katika utetezi wa haki za binadamu;

• Kuhudhuria kesi za hadhara, mashtaka na hukumu

ili kutathmini uzingativu wao wa sheria ya kitaifa

na wajibu wa haki za binadamu kimataifa;

• Kupata fursa na mawasiliano na mashirika

yasiyo ya kiserikali na serikali mbalimbali bila

kipingamizi;

• Kunufaika na ufumbuzi thabiti;

• Kutumia kihalali kazi au taaluma ya mtetezi wa

haki za binadamu;

• Kuweka ulinzi wa uhakika chini ya sheria ya kitaifa

katika kuonyesha hisia dhidi ya au kupinga, kwa

njia ya amani, vitendo au makosa yanayodhaniwa

na Serikali kwamba yanasababisha ukiukaji wa

haki za binadamu;

• Kutafuta, kupokea na kutumia rasilimali kwa

lengo la kulinda haki za binadamu (pamoja na

kupokea fedha kutoka nje ya nchi).

(E) Hoja nyingine

Azimio linaonekana kwa baadhi ya wakosoaji

kama matokeo yasiyoridhisha, kwa kuzingatia

muda uliochukua nchi wanachama kukubaliana

na maandiko na ukweli kwamba ina vifungu fulani

ambavyo bado vinazorotesha haki za watetezi.

Madaraka ya Mwandishi Maalum wa

Umoja wa Mataifa kuhusu Watetezi wa Haki

za Binadamu

Mwaka 2000, chini ya miaka miwili baada ya

kupitishwa kwa Azimio hili, Tume ya Umoja wa

Mataifa ya Haki za Binadamu kwa pamoja ilipitisha

Azimio 2000/61 ambalo lilimtaka Katibu Mkuu

kuteua Mwakilishi Maalum wa watetezi wa haki

za binadamu. Huu ulikuwa utaratibu wa kwanza

kuundwa katika ngazi ya kimataifa katika kulinda

haki za binadamu kwa mujibu wa haki zilizotajwa

katika Azimio. Bi Hina Jilani, mwanasheria maarufu

wa haki za binadamu kutoka Pakistan, aliteuliwa

kuwa Mwakilishi Maalum wa kwanza. Mrithi wa

Tume ya Haki za Binadamu, baraza la Haki za

Binadamu la Umoja wa Mataifa, liliamua kuendelea

na madaraka hayo kwa muda wa miaka mitatu

mfululizo mnamo mwaka 2008 (azimio 7/8) na

mwaka 2011 (Azimio 16/5). Mwezi Machi mwaka

2008, Bi Margaret Sekaggya, hakimu wa Uganda

na Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Haki za

Binadamu ya Uganda, aliteuliwa kwenye madaraka,

ambayo hapo ilibadilisha cheo na kuwa Mwandishi

Maalum wa hali ya watetezi wa haki za binadamu.

Mwandishi Maalum hufanya shughuli katika

uhuru kamili wa nchi yoyote, si mfanyakazi wa

Umoja wa Mataifa na hapati mshahara. Madaraka

ya Mwandishi Maalum ni kufanya shughuli kuu

zifuatazo:

• Kutafuta, kupokea, kuchunguza na kushughulikia

taarifa juu ya hali ya watetezi wa haki za

binadamu;

• Kuanzisha ushirikiano na kufanya mazungumzo

na Serikali na watendaji wengine wenye nia ya

kuendeleza na kutekeleza kwa ufanisi Azimio hili;

• Kutoa mapendekezo ya mikakati madhubuti

iliyo bora kwa kuwalinda watetezi wa haki za

binadamu na kufuatilia mapendekezo hayo;

• Kuingiza mtizamo wa kijinsia katika kazi yake

yote.

Baraza la Haki za Binadamu lilizisisitiza Serikali zote

kushirikiana na Mwandishi Maalum na kutoa taarifa

zote zinazoombwa. Mwandishi Maalum anaombwa

kuwasilisha taarifa ya kila mwaka kwa Baraza hili na

Baraza Kuu.

(A) Mtazamo mpana wa utekelezaji wa

Azimio

Madaraka rasmi ya Mwandishi Maalum ni ya

ujumla sana, yanayohitaji utambuzi wa mikakati,

vipaumbele na shughuli za kuitekeleza. “Ulinzi”

wa watetezi wa haki za binadamu ndio suala kuu

4

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili