16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Sheria hii mpya inaharamisha kufanya ukeketaji

na kupeleka mtu nje ya nchi kufanyiwa ukeketaji.

Wajumbe wa Chama cha Wabunge Wanawake wa

Kenya walisema ilikuwa siku ya kihistoria:

“Nimepigania kwa miaka 18 hadi

kufanikisha sheria hii. Leo ni siku ya uhuru

kwa wanawake. Wanaume walipata uhuru

wao mwaka 1963 - lakini leo wanawake

wamefanikiwa kupata uhuru wao kutoka

kwenye mikono ya kikatili ya jamii” 27

alisema Sophia Abdi Noor.

Pamoja na kwamba sheria hiyo ni hatua ya kipekee

ya kusonga mbele, huchukua zaidi ya sheria pekee

kutokomeza kweli vitendo hivyo ambavyo vimejikita

mizizi yake katika utamaduni, na Watetezi wa Haki za

Binadamui wanaendelea kushiriki katika kampeni 28

hii.

Uganda:

Chini Uganda, mashirika ya wanawake; Akina

Mama wa Afrika, ‘Action Aid International Uganda’,

‘Isis-WICCE’ na ‘Women’s Network Uganda’

walijaribu kufanya igizo lililoitwa “Mazungumzo

ya Uke”, ambalo lilihadithia tukio kubwa la ukatili

wa kijinsia dhidi ya wanawake ikiwa ni pamoja

na ukeketaji, kujamiiana kwa maharimu, na

unyanyasaji wa kijinsia. Hata hivyo mchezo ambao

ulikuwa wa mafanikio uliofanyika nchini Kenya,

ulipigwa marufuku na Baraza la Habari kwa madai

ya kutukuza kile walichoita ngono kinyume cha

kawaida, yaani kupiga punyeto, usagaji na ushoga.

Utekelezaji wa Baraza ulifikia kuweka kizuizi cha

uhuru wa kujieleza na uthibitisho wa nguvu ya

mfumo dume ambao bado umetawala katika

vyombo vingi vya kutoa maamuzi. Katika mchakato

wa mjadala mkali wa umma, waandaaji walijengewa

uadui na kashfa na viongozi wa serikali na watu

wengine maarufu katika jamii. Katika tukio la

hivi karibuni zaidi, Waziri wa Maadili na Uadilifu

“alishauri” hoteli kuu nchini Uganda isitoe ukumbi

kwa ajili ya warsha juu ya haki za wafanyabiashara

women-africa

27 Kama hapo juu. Kwa mujibu wa makala ya habari hizi

wakati wa kilele cha Umoja wa Afrika mwezii Juni ambao

ulipendekeza kupigwa marufuku kwa ukeketaji, Benin, Ivory

Coast, Djibouti, Egypt, Eritrea, Ethiopia, Ghana, Guinea, Niger,

Nigeria, Kenya, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Senegal, Chad,

Tanzania, Togo na Uganda walikuwa na sheria ya kupinga

hili tayari. Kuna nchi tisa (zikiwemo zile ambazo ni kinyume

cha sheria)ambako hutendeka sana: Djibouti, Egypt, Eritrea,

Ethiopia, Guinea, Mali, Sierra Leone, Somalia na Sudan 85%

ya wanawake hufanyiwa ukeketaji

28 Makala ya Habari za Shirika la IRIN “Kenya: Legislation failing

to curb FGM/C” tarehe 2 Juni, 2011. http://www.irinnews.

org/report.aspxreportid=92869

ya ngono ambayo ilisababisha waandaaji kulazimika

kuhamisha warsha hiyo.

Ethiopia:

Mwaka 2001, Serikali ya Ethiopia ilisimamisha

kwa muda Chama cha Wanasheria Wanawake wa

Ethiopia na kuzuia akaunti zake kwa kile ilichoita

“kujishughulisha na shughuli tofauti na zile

walizoidhinishwa na sheria” 29 Hii ilitokea baada ya

chama hiki kuilaumu Wizara ya Haki kwa kushindwa

kufuatilia madai ya mhalifu ipasavyo juu ya ukatili

majumbani unaoendelea. Chama cha Wanasheria

Wanawake wa Ethiopia, moja ya mashirika yasiyo ya

kiserikali lililo bora nchini Ethiopia linalofanya kazi

ya usawa na haki za kijamii, liliacha mamia ya kesi

za ukatili majumbani bila kushughulikiwa wakati wa

kipindi cha kusimamishwa. Kitendo hiki cha Serikali

kilionyesha ukiukwaji wa wazi wa uhuru wa kujieleza

na haki ya kusambaza habari. Hata hivyo, Chama

cha Wanasheria Wanawake wa Ethiopia, baadaye

kiliweza kufanikiwa kurudishiwa utekelezaji wake

kwa maamuzi ya mahakama baada ya Waziri wa

Sheria kuhamishiwa wizara tofauti. Mbinu kama

hizi huendelea kutumika na serikali ya Mashariki

na Pembe ya Afrika. Katika kukabiliana na hali hii,

Mwandishi Maalum wa Umoja wa Mataifa juu ya

hali ya watetezi wa haki za binadamu, Margaret

Sekaggya, aliandikia suala hili ndani ya taarfa

iliyotolewa Desemba 2010 katika maandalizi ya kikao

cha 13 cha Baraza la Haki za Binadamu. Mwandishi

huyu anaagiza kuwa hakuna nchi inayoruhusiwa

kuchukua hatua ya “vitisho, kueleza habari za

mtu, kunyang’anya mali, kusimamisha shughuli na

kutoshirikisha katika michakato ya kitaifa ya ushauri”

kwa misingi ya ubaguzi.

Changamoto za kijinsia

Changamoto ya dhahiri ambayo huwakabili

wanawake watetezi wa haki za binadamu katika

kazi zao ni kwamba mara nyingi ujinsia wa mtetezi

ni muhimu katika kampeni dhidi ya kazi zao. Mara

nyingi wanawake watetezi wa haki za binadamu

ni walengwa kwa njia ambayo inalenga katika

kuwaum.iza wao kama wanawake 30 , kama vile

29 Shirika la ‘Human Rights Watch’ (2001) Ethiopia: Serikali Yavamia

Wanasheria Wanawake, tarehe 17 Oktoba, 2001. http://

www.hrw.org/press/2001/10/ethiopia-1017-ltr.htm

30 A/HRC/16/44, Taarifa ya Margaret Sekaggya ya Mwandishi

Maalum kuhusu Hali ya Watetezi wa Haki za Binadamu

kwa Baraza la Haki za Binadamu, tarehe 20 Desemba, 2010.

Inapatikana katika aya ya 87 ukurasa wa 17. Taarifa hii inazungumzia

taarifa iliyopelekwa mwaka 2005 toka Jamhuri ya

Afrika ya Kati kuhusu jaribio la kumbaka binti wa mwanamke

mtetezi, na tishio la kumbaka mwanaharakati wa watu

wafanyao mapenzi kinyume cha desturi nchini Kenya.

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 35

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!