Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Hupoteza udhibiti wa hali hiyo, hukwama

Kukabiliwa na ukatili, unyama na ushushaji hadhi wa

mahusiano ya binadamu kunaweza kuharibu imani

ya mtu katika ubinadamu na kuongeza uchungu

kwa Watetezi wa Haki za Binadamu. Kukabiliana

na uzoefu wa kiwewe kunaweza kuamsha uzoefu

wa kiwewe kwa Mtetezi wa Haki za Binadamu

mwenyewe – nani huamua jukumu la msaidizi

Unapofanya kazi katika vikundi ambavyo hupata

kiwewe kitokanacho na watu wengine, inawezekana

kujenga mtazamo usiobadilishika (“kila mtu ametoka

kutaka kunikamata” au “ni wakala wa serikali”),

kuunda upya uhai wa mshambulizi/mhanga wa

uhalifu na kumsingizia mwanatimu dhaifu. Timu

na hata mashirika yamevunjika kwa sababu hii,

hasa kama mahali hapana sera au mahusiano ya

kushughulikia masuala kwa njia ya kudhibiti athari

mbaya.

Unyong’onyevu wa mwili

Kwa mujibu wa mwanasaikolojia wa New York

Herbert J. Freudenberger, Daktari wa Falsafa,

ambaye aliunda istilahi hii. Unyong’onyevu wa mwili

ni hali ya uchovu au kuchanganyikiwa unaoletwa

na kujihusisha kwa dhati katika jambo, mtindo

wa maisha, au uhusiano ambao umeshindwa

kufanikisha matunda yaliyotarajiwa. Unyong’onyevu

wa mwili ni tatizo lilioundwa kwa nia njema, kwa

sababu hutokea wakati watu wanapojaribu kufikia

malengo yasiyowezekana na kuishia kudhoofisha

nguvu zao na kupoteza mawasiliano kwa wao

wenyewe na wengine.

Sababu za unyong’onyevu wa mwili:

Mzigo mkubwa/uliokithiri wa hisia

Sifa maalum binafsi mahsusi (Utu, huruma,

uelewa) dhidi ya kuchanganyikiwa

Mtazamo unaozingatia mteja - “mshtuko wa

ukweli”

Migogoro ya majukumu: wanawake na

unyong’onyevu wa mwili - hisia za wasiwasi

na hatia dhidi ya “ mwanamke mwenye uwezo

uliokithiri” au “mama wa nyumbani mwenye

uwezo uliokithiri”

Jambo la mzaha kuhusu unyong’onyevu wa mwili

ni kwamba inachotokea kwa mtu huyo huyo

ambaye awali alikuwa na shauku na kujaa nguvu

na mawazo mapya aliposhirikishwa kwanza katika

kazi au hali mpya. Mtu wa aina hii kwa ujumla huwa

na matarajio makubwa sana ya kile kinachoweza

kufanikishwa. Wakati muda unapokwenda na

malengo yote kutofanikiwa, shauku hufa na

aina ya unyong’onyevu hujijenga. Badala ya

kupunguza malengo au kukubali ukweli, huzuia

kuchanganyikiwa na mtu binafsi hujaribu zaidi.

Mambo matatu huhusishwa na unyong’onyevu wa

mwili:

Dalili

Mgogoro wa majukumu: mtu ambaye ana

majukumu yanayokinzana ataanza kujisikia

kuingizwa katika pande nyingi na atajaribu

kufanya kila kitu vizuri kwa usawa bila kuweka

vipaumbele. Matokeo yatakuwa hisia za uchovu

au uchovu unaohusishwa na unyong’onyevu wa

mwili

Utata wa majukumu: Mtu binafsi hajui

kinachotarajiwa toka kwake. Anajua kuwa

anatarajiwa kuwa mfanyakazi mzuri lakini hana

uhakika hasa wa jinsi ya kutekeleza hayo kwa

sababu hana mtindo au miongozo ya majukumu

ya kufuata. Matokeo yake ni kwamba hahisi

kuwa amekamilisha chochote cha manufaa hata

kidogo.

Kuzidiwa na majukumu: Mtu binafsi hawezi

kukataa na huendelea kuchukua majukumu

zaidi ya uwezo wake wa kuyashughulikia hadi

hatimaye hupata unyong’onyevu wa mwili.

Mwanzo huwa pole pole. Dalili za awali ni pamoja

na uchovu kihisia na kimwili; hali ya kutengwa,

wasiwasi, kukosa uvumilivu, kutokuwa na shauku

na hisia za kutovutiwa kiasi kwamba mtu huanza

kuchukia kazi inayohusika na watu ambao ni sehemu

ya kazi hiyo. Katika hali mbaya, mtu ambaye hapo

kwanza alijali sana kuhusu programu au kikundi

atajihami kufikia kikomo cha kutojali tena hata

kidogo.

Uchovu wa kihisia, kiakili, kimwili

Hisia za kukosa msaada na kukata tama

Hisia za kutojua chochote

Dalili za kimwili: maumivu ya kichwa, udhaifu,

kujinyoosha mno, maumivu ya shingo na

mabega, maumivu ya tumbo, kuongezeka uzito,

kupungua kwa kinga hadi kupata maambukizi,

matatizo ya kukosa usingizi

Dalili za kihisia: huzuni kubwa, kuhisi kukosa

msaada, kukata tamaa (“roho yangu ilikufa”).

Dalili za kiakili: mtazamo hasi, kutoshawishika na

umbali katika mahusiano ya binadamu, wasiwasi

26

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili