16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ya ulinzi bora kwa watetezi wa haki za binadamu

na kufuatilia mapendekezo yake;

• Kuongeza ufahamu na kuhimiza utekelezaji wa

Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Watetezi wa

Haki za Binadamu barani Afrika.

• Ili kutekeleza madaraka yake, Mwandishi

Maalum hupokea na kuchunguza taarifa kutoka

vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mashirika

yasiyo ya kiserikali, na masuala ya rufaa za haraka

kuhusu uvunjaji sheria dhidi ya watetezi wa haki

za binadamu katika kanda.

Tangu kuanzishwa kwa madaraka haya, Waandishi

Maalum pia wamedumisha mawasiliano ya mara

kwa mara na watetezi wa haki za binadamu kupitia

ushiriki wao katika mikutano ya kimataifa na

kikanda. Washika madaraka hawa pia walifanya ziara

kadhaa za nchi, ikiwa ni pamoja na ziara ya pamoja

na taarifa kwa vyombo vya habari na Mwandishi

Maalum wa Umoja wa Mataifa (tazama hapo juu).

Vilevile Mwandishi Maalum amewahamasisha watu

binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali kuwasilisha

kesi kuhusiana na watetezi wa haki za binadamu

kwa Tume ya Afrika. Chini ya Mkataba wa Afrika wa

Haki za Binadamu na Haki za Watu, Tume ya Afrika

kuhusu Haki za Binadamu na Haki za Watu inapewa

madaraka ya kupokea na kushughulikia mawazo

kutoka kwa watu binafsi na mashirika (Kifungu cha

55). Mtu yeyote anaweza kuwasilisha ujumbe kwa

Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Haki

za Watu kukemea ukiukwaji wa haki za binadamu.

Mlalamikaji au mwandishi wa ujumbe huo si lazima

ahusiane na mtendewa kinyume cha haki, lakini

mwathirika huyo lazima atajwe. Mawazo yote lazima

yaandikwe, na kutumwa kwa Katibu au Mwenyekiti

wa Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Haki

za Watu. Hakuna fomu au muundo maalum ambao

lazima ufuatwe katika kuandika mawazo hayo.

Maelezo ya anwani kwa kupeleka mapendekezo na mawasiliano

zaidi:

Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Haki za Watu

31 Bijilo Annex Layout, Wilaya ya Kaskazini ya Kombo

Mkoa wa Magharibi

S.L.B. 673

Banjul, Gambia

Miongozo ya Umoja Ulaya kuhusu

Watetezi wa Haki za Binadamu

Umoja wa Nchi za Ulaya kwanza ulipitisha

“Kuhakikisha Ulinzi - Miongozo ya Umoja wa Nchi

za Ulaya kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu”

mwezi Juni 2004, na toleo jipya lilisambazwa katika

mwaka 2008. Miongozo 2 hii inatoa mapendekezo

yanayotekelezeka kwa ajili ya kuimarisha hatua za

Umoja wa Nchi za Ulaya kuunga mkono mawasiliano

ya watetezi wa haki za binadamu katika balozi za

nchi wanachama wa Umoja wa Nchi za Ulaya na

nchi zinazoendelea katika ngazi zote pamoja na

katika mikutano ya haki za binadamu ya vyombo

mbalimbali, kama vile Baraza la Haki za Binadamu

la Umoja wa Mataifa. Miongozo hii ni sehemu

ya jitihada za Umoja wa Nchi za Ulaya kuhimiza

heshima ya haki ya kutetea haki za binadamu. Hutoa

mwongozo kwa vitendo kwa ujumbe wa Umoja wa

Nchi za Ulaya katika nchi zinazoendelea juu ya hatua

wanazoweza kuchukua kwa niaba ya watetezi wa

haki za binadamu walio hatarini, na kupendekeza

njia za kuunga mkono na kusaidia watetezi wa haki

za binadamu, katika mukhtadha wa Sera ya Pamoja

ya Nje na Usalama ya Umoja wa Nchi za Ulaya.

Miongozo hii pia hutoa msaada kwa ajili ya Taratibu

Maalum za Baraza la Haki za Binadamu la Umoja

wa Mataifa, ikiwa ni pamoja na Mwandishi Maalum

wa Umoja wa Mataifa kuhusu Watetezi wa Haki za

Binadamu, na mifumo mingine ya kikanda (kama

vile Mwandishi Maalum wa Tume ya Afrika kuhusu

Haki za Binadamu na Haki za Watu kuhusu watetezi

wa haki za binadamu). Umoja wa Nchi za Ulaya

husaidia kanuni zilizomo katika Azimio la Umoja

wa Mataifa kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu.

Hatua za vitendo

a) Ufuatiliaji, utoaji taarifa na tathmini.

Wakuu wa Balozi za nchi wanachama wa Umoja

wa Nchi za Ulaya tayari wanaombwa kutoa taarifa

za mara kwa mara juu ya hali ya haki za binadamu

katika nchi ambazo zimeteuliwa. Balozi mbalimbali

zinatarajiwa kushughulikia hali ya watetezi wa haki

za binadamu katika taarifa zao, zikibainisha hasa

tukio la vitisho au mashambulizi yoyote dhidi ya

watetezi wa haki za binadamu.

b) Wajibu wa Balozi za Nchi Wanachama

wa Umoja wa Nchi za Ulaya na ujumbe

wa Umoja wa Nchi za Ulaya katika

kuwasaidia na kuwalinda watetezi wa haki

za binadamu.

Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Ulaya (yaani, balozi

za nchi wanachama wa Umoja wa Nchi za Ulaya na

ujumbe wa Umoja wa Nchi za Ulaya) wanafanya

kazi kubwa katika kutekeleza sera za Umoja wa Nchi

za Ulaya kwa watetezi wa haki za binadamu. Balozi

za nchi wanachama wa Umoja wa Nchi za Ulaya na

2 Inapatikana katika http://www.consilium.europa.eu/uedocs/cmsUpload/GuidelinesDefenders.pdf

8

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!