16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Sura ya 1:

Vyombo vya Kimataifa na Kikanda kwa Ulinzi wa Watetezi wa Haki za

Binadamu

Sura hii inatoa historia ya nyuma ya Azimio la Umoja

wa Mataifa kuhusu Haki na Wajibu wa Watu binafsi,

Makundi na Vyombo vya Jamii ili Kukuza na Kulinda

Haki za Binadamu Zinazotambuliwa Kiulimwengu na

Uhuru wa Kimsingi (kwa kawaida linajulikana kama

“Azimio juu ya watetezi wa haki za binadamu”) na

maelezo ya jumla ya Azimio lenyewe. Pia inaelezea

taratibu maalum zifuatazo za ulinzi kimataifa na

kikanda kwa ajili ya watetezi wa Haki za Binadamu,

madaraka na mbinu zao za kazi:

1. Mwandishi Maalum wa Umoja wa Mataifa

kuhusu Watetezi wa Haki za Binadamu

2. Mwandishi Maalum kuhusu Watetezi wa Haki za

Binadamu barani Afrika

3. Miongozo ya Umoja wa Nchi za Ulaya kuhusu

Watetezi wa Haki za Binadamu

Wasomaji wanahimizwa kuendeleza utekelezaji

wa viwango vya kimataifa vilivyomo katika Tamko

la Umoja wa Mataifa kuhusu watetezi wa haki za

binadamu ambazo zinawalinda watetezi wa haki za

binadamu duniani kote na kutumia na kuimarisha

taratibu zilizoelezwa katika mada hii. 1

Historia ya nyuma ya Azimio la Umoja

wa Mataifa kuhusu Watetezi wa Haki za

Binadamu

Siku hizi, uendelezaji na ulinzi wa haki ya kutetea

haki za binadamu hufanya mada yenye ongezeko

la shauku duniani kote. Hata hivyo, kampeni ya

kimataifa ya kuteka mawazo kimataifa juu ya hali ya

watetezi wa haki za binadamu ilikuwa ikiandaliwa

vizuri na kuwekewa malengo zaidi na zaidi wakati wa

miaka ya 1980.

Barani Afrika, mfululizo wa mashauriano umekuwa

na matokeo mazuri sana katika ufafanuzi

wa Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu watetezi

wa haki za binadamu. Kampeni za kanda ndogo

na Afrika nzima zilizofanyika mwaka 1998 kabla ya

kupitishwa kwa azimio hilo, zilikuwa udhihirishaji

wazi wa shauku na dhamira ya asasi zisizo za

kiserikali katika kutetea haki ya kutetea haki za

binadamu, na kuendesha kampeni ya kuweka

mazingira bora ya kufanyia kampeni kwa ajili ya

watetezi barani kote. Matokeo ya kampeni hizo

katika Afrika yalitolewa katika Mkutano wa Paris

1 Makala asilia ya Musa Gassama, na marekebisho na michango

na Rachel Nicholson.

wa Desemba 1998 na katika maandiko ya Azimio

la Umoja wa Mataifa kuhusu watetezi wa haki za

binadamu.

Katika kushughulikia hali mbaya inayowakabili

watetezi, kwa azimio 53/144 la tarehe 9 Desemba

1998, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa

kauli moja walipitisha Azimio kuhusu watetezi wa

haki za binadamu. Hii ilikuwa baada ya zaidi ya

muongo mmoja wa kushawishi, kufanya kampeni

na mazungumzo. Utaratibu wa kupanga miaka

na matukio katika mchakato wa kuandaa rasimu

ulianza mwezi Februari 1980 na kumalizika mwezi

Februari 1997, na Mkutano Mkuu ulipitisha Azimio

hilo tarehe 9 Desemba 1998, yaani miaka 18 ya

majadiliano, zoezi la aina yake lililokwenda taratibu

zaidi katika historia ya Umoja wa Mataifa!

Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu

Watetezi wa Haki za Binadamu

(A) Maoni ya jumla

Kupitishwa kwa Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu

watetezi wa haki za binadamu mwaka 1998 lilikuwa

tukio muhimu. Kwa kupitisha Azimio hilo, nchi

wanachama walitambua:

• hali mbaya ya watetezi wa haki za binadamu

duniani kote;

• kuwepo kwa haki ya watetezi wa haki za

binadamu katika kutetea haki za binadamu,na

• haja ya ushirikiano wa kimataifa katika kulinda

haki hii ya kutetea haki za binadamu.

Azimio si mkataba au desturi, hivyo si chombo

kinachofunga kisheria. Hata hivyo:

• Linawakilisha ushirikiano wa kimataifa wa kulinda

haki za watetezi wa haki za binadamu duniani

kote;

• Linatambua uhalali wa shughuli za haki za

binadamu na haja ya shughuli hizi na wale

wanaotekeleza shughuli hizi kulindwa;

• Linatoa mfumo wa kisheria wa kuwalinda

2

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!