Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
kwa wasagaji, mashoga, wanaovutiwa kimapenzi

na watu wa jinsia zote mbili na wenye jinsi mbili,

kila mahali. Chama cha Kimataifa cha Wasagaji na

Mashoga, kilichoanzishwa mwaka 1978, mpaka sasa

ni shirikisho pekee la kimataifa lisilo la kiserikali na

lisilokuwa kwa ajili ya kujitengenezea faida, la kijamii

lililolenga katika kuwasilisha ubaguzi kwa misingi ya

tabia ya mwenendo wa kufanya mapenzi kama suala

la kimataifa.

Chanzo Rasmi: http://ilga.org

International Service for Human

Rights (Huduma ya Kimataifa ya Haki

za Binadamu)

Huduma ya Kimataifa ya Haki za Binadamu ni

chama cha kimataifa kinachowahudumia watetezi

wa haki za binadamu. Huhamasisha maendeleo,

uimarishaji, matumizi ya ufanisi na utekelezaji wa

sheria za kimataifa na kikanda na taratibu za ulinzi

na uendelezaji wa haki za binadamu.

Chanzo Rasmi: http://www.ishr.ch

New Tactics for Human Rights Project

(Mbinu mpya za Mradi wa Haki za

Binadamu)

Tangu mwaka 1999, ‘New Tactics for Human Rights

Project’ imefanya kazi kwa kutoa nyenzo kwa

watetezi wa haki za binadamu wanaotoa ufumbuzi

wa mbinu bunifu kwa ajili ya kupambana na

changamoto maalum. Nyenzo hizi huwawezesha

wanaharakati kupanga changamoto maalum za

kipekee kwa maeneo yao wanayoshughulikia,,

kutambua njia ambazo zimefaa katika mazingira

mengine ili kuzirekebisha na kutekeleza mbinu hizo

katika maeneo husika.

Chanzo Rasmi: http://www.newtactics.org/

Norwegian Ministry of Foreign Affairs

(Wizara ya Mambo ya Nje ya Norway)

Kulinda haki za binadamu ni kipaumbele kikuu katika

sera za Norway za haki za binadamu. Lengo la jumla

ni kwamba juhudi za kuendeleza na kutetea haki

za binadamu katika maeneo yote ya dunia ziweze

kufanyika bila vikwazo au vitisho kwa watetezi wa

haki za binadamu au familia zao. Katika mashirika ya

Umoja wa Mataifa na mengine ya kimataifa, Norway

huendeleza kikamilifu juhudi za kuunga mkono

watetezi wa haki za binadamu.

Katika ngazi ya kitaifa, balozi nyingi za kidiplomasia

za Norwei zina jukumu la kuchukua hatua

mbalimbali na kuendesha kampeni za pamoja na

watendaji wengine wa kimataifa ili kusaidia kazi yao.

Watetezi wa haki za binadamu ni washirika muhimu

wa ushirikiano kwa balozi za kidiplomasia.

Chanzo Rasmi: http://www.regjeringen.no/en/dep/

ud.htmlid=833

Observatory for the Protection of

Human Rights Defenders (Uangalizi

kwa Ulinzi wa Watetezi wa Haki za

Binadamu)

Taasisi ya Kimataifa ya Haki za Binadamu iliunda

‘Uangalizi wa Ulinzi wa Watetezi wa Haki za

Binadamu’, ikiungana na Shirika la Dunia Dhidi ya

Mateso. Uangalizi huo una mtazamo wa mbinu

mbili: kuingilia kati ili kuzuia au kupata ufumbuzi

katika hali za ukandamizaji na mchango wa

uhamasishaji wa kimataifa kutambua shughuli za

watetezi wa haki za binadamu na haja ya ulinzi wao

katika ngazi ya kikanda na kimataifa.

Chanzo Rasmi: http://www.fidh.org/rubrique.

php3id_rubrique=180

Barua pepe: Appeals@fidh-omct.org

Protection International (Ulinzi wa

Kimataifa)

Watetezi wa Haki za Binadamu ni mmoja wa

watendaji wakuu wa mapambano dhidi ya

kutoadhibu kwa ajili ya haki. Wao ni watu muhimu

wenye malengo katika kujenga na kuimarisha

amani na demokrasia bali hujikuta wakiishia katika

mashambulizi na vitisho vya mara kwa mara. Ulinzi

wa Kimataifa unachangia kuimarisha usalama

na ulinzi wa watetezi wa haki za binadamu na

kuhamasisha jamii ya kitaifa na kimataifa (bunge,

serikali, Umoja wa Mataifa, raia wa kawaida,

vyombo vya habari). Vile vile huwapatia maarifa

na nyenzo muhimu pande husika na walengwa ili

waweze kushirikisha ulinzi wa mahali husika na watu

wake katika mipango na programu za kazi. Programu

hii pia huwezesha ubadilishanaji wa uzoefu ndani ya

nchi na kuendeleza matendo bora kati ya watetezi

wa haki za binadamu

Chanzo Rasmi: http://www.protectioninternational.

org/

72

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili