16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

adala ya kutambua hisia za wengine.

Kama ilivyo kwa uzoefu wa kiwewe, watu huwa na

kawaida ya kuunda mifumo ya ulinzi ili kukabiliana.

Baadhi ni madhubuti kuliko wengine. Ulinzi dhaifu

ni pamoja na ukataaji na kutoaminiana, kujiweka

katika hali ya mtu mwingine: “Serikali ndio adui”,

kumtambua mhanga au mshambulizi, kugawanyika:

wasaidizi/maadui; “ama unakuwa pamoja nasi

au dhidi yetu”, na kutolipa umuhimu: “Ni mateso

kidogo tu ... “ Ulinzi imara zaidi ni pamoja na ucheshi

na kuelekeza nguvu katika shughuli zinazokubalika

kijamii (kujihusisha katika shughuli za uzalishaji au

ubunifu).

Kuzuia Unyong’onyevu na Uponaji

USIKANE. Hisi athari katika mwili wako. Kwa

hiari, anza kukubali mfadhaiko na shinikizo

ambayo yamejionyesha wazi kimwili, kiakili, au

kihisia.

EPUKA KUTENGWA.Usifanye kila kitu peke yako!

Endeleza au jenga upya uhusiano wa karibu na

marafiki na wapendwa wako. Ukaribu si kuwa

huleta utambuzi mpya tu, bali pia ni kero kwa

fadhaa na majonzi.

BADILISHA MAZINGIRA YAKO. Kama kazi yako,

uhusiano wako, hali, au mtu anakushawishi,

jaribu kubadilisha mazingira yako, au ikibidi,

ondoka.

PUNGUZA UZITO WA MAWAZO KATIKA MAISHA

YAKO. Baini yale maeneo au masuala ambayo

yanakujia kwa nguvu zaidi mawazoni na ujitahidi

kuondoa shinikizo hilo.

USIJALI SANA. Ikiwa mara kwa mara huchukua

matatizo na majukumu ya watu wengine, jifunze

kujinasua kwa upole. Jaribu kufanikisha mambo

yako mwenyewe.

JIFUNZE KUSEMA “HAPANA”. Utasaidia

kupunguza uzito wa mawazo kwa kuzungumzia

mawazo yako kwa uhuru. Hii ina maana ya

kukataa maombi au madai ya ziada kwa wakati

wako au katika hisia zako.

ANZA KUJITOA NA KUJIBANDUA. Jifunze

kujituma, si katika kazi tu, bali hata nyumbani na

kwa marafiki. Katika hali hii, kutofungamana ina

maana ya kujiokoa mwenyewe.

TATHMINI UPYA MAADILI YAKO. Jaribu

kuchagua maadili ya maana kutoka yale ya muda

na yanayodumu kwa muda mfupi tu, ya muhimu

kutoka yasiyo muhimu. Utahifadhi nguvu na

muda, na kuanza kujisikia kuzingatia zaidi.

JIFUNZE KUTAFUTA NGUVU ZA KUTOSHA. Jaribu

kufikiria maisha kwa wastani. Una nguvu za

kutosha. Kuwa na hakika ya kile kinachohitajika

katika maisha yako, kisha anza kuweka uwiano

wa kazi na upendo, raha na. kuupumzisha mwili

wako.

TUNZA MWILI WAKO. Usiruke milo, kujinyima

milo muhimu, kupuuzia haja ya kulala, au

kuvunja miadi ya daktari. Jitunze kwa lishe.

PUNGUZA HOFU NA WASIWASI. Jaribu

kupunguza sana hofu ya kishirikina - haibadilishi

kitu chochote. Utapata udhibiti mzuri zaidi

katika hali yako iwapo utatumia muda kidogo wa

kuhofia na muda zaidi wa kushughulikia mahitaji

yako halisi.

ENDELEA KUWA MCHESHI. Anza kujijengea

maisha ya furaha. Watu wachache sana

huteseka kwa unyong’onyevu wa mwili wakati

wakiwa na furaha.

Mateso na kiwewe ni uzoefu wa kubadilisha maisha.

Uwezo wa mtu kukabiliana itategemea mambo

mengi: mwenendo wa mtu binafsi na uwezo wa

kukabiliana, upatikanaji wa mifumo ya msaada wa

taasisi na jumuiya na mazingira yanayozunguka yote

yana mchango mkubwa sana katika mchakato wa

uponyaji. Ni ukweli wa kusikitisha kwamba si kila

mmoja ataweza kupona. Wakati mwingine madhara

yaliyofanywa ni makubwa mno. Si mazingira yote

yanayofaa kwa uponyaji. Ni vigumu sana kuzoea

kiwewe kama mtu bado anaishi katika jamii ambamo

ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaendelea

kufanyika. Hata hivyo, utafiti unaonyesha kuwa

watu wengi wanaweza kupona vizuri kabisa kama

watapata msaada wa lazima, hata katika hali tete

na ya hatari. Ni muhimu pia kutambua kwamba

uponyaji unaweza kuwa mchakato wa maisha yote.

Kutakuwa na nyakati nzuri na kisha nyakati ambazo

kumbukumbu zinakuwa karibu kujitokeza. Hata hivyo,

kama utatambua kuwa huko peke yako, na kwamba

kuna jamii inayojali ambayo iko tayari katika muundo

wowote unaoona unafaa zaidi – iwe kupitia kwa

familia, marafiki, viongozi wa kiroho, wafanyakazi

wenza, majirani, Watetezi wengine wa Haki za

Binadamu au hata jumuiya ya kimataifa - kisha kazi

ya uponyaji na kuzoea kiwewe inaweza kuanza.

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 27

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!