16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

za mateso na vurugu za kupangwa:

Kimwili

• maumivu, ya muda mfupi na ya kudumu

• kuvunjika mifupa na maumivu ya viungo

• majeraha

• kuharibika meno na ufizi

• matatizo ya mapafu

• ugumba na utasa

• kukosa nguvu za kiume

• matatizo ya kuchafukwa tumbo

• kudhoofika uwezo wa kusikia

• uharibifu wa viungo vya ndani

• kina mama kupata magonjwa yasiyokuwa ya

kawaida

• uharibifu wa misuli

• madhara kwa uti wa mgongo

• kovu katika tishu

• shinikizo kali la damu

• maambukizi ya kibofu cha mkojo na matatizo

ya njia ya mkojo

• kukatwa viungo vya mwili

• kupata kiharusi na/au mwili kufa ganzi

• kupoteza uwezo wa kufanya ngono

• maumivu ya kichwa

Kisaikolojia

• majonzi

• majuto, ikiwa ni pamoja na majuto ya mnusurikaji

• ugonjwa wa wasiwasi

• woga uliokithiri

• matatizo ya usingizi, ikiwa ni pamoja na kukosa

usingizi na ndoto za kutisha

• kudhoofika kwa uwezo wa kuweka kumbukumbu,

kupoteza kumbukumbu

• kujenga hisia za chuki

• matatizo ya uzingativu

• kutojiamini kushika madaraka

• wepesi wa kupandwa na hasira

• kuzukwa na hofu kubwa mara kwa mara

• hisia za kujiua, majaribio ya kujiua

• wasiwasi

• mawazo ya matukio yaliyopita na yanayojiingiza

• matarajio ya kufupishiwa maisha

• kupungukiwa na uwezo wa kuwa na hisia nzito za

aina mbalimbali

• kupungukiwa na matarajio ya maisha na

uwezekano wake

• matatizo ya ziada kwa watoto, ndugu na marafiki

• kupungua kujiamini

• upweke na ubinafsi

• ulegevu

• hofu ya kila kitu

• huzuni na majonzi

Wakati madhara ya mwili hatimaye yanaweza kupona

(ingawa wakati mwingine haiwi hivyo), madhara ya

kisaikolojia na kiroho yanaweza kuwa tatizo kubwa

zaidi kuyashughulikia. Fedheha, udhalilishaji, hofu

na kutengwa ni mambo muhimu ya aina hii ya

kiwewe, na inaweza kuwa vigumu sana kwa mtu

kupata msaada. Hata hivyo, katika kukabiliana na

vita mateso na mapambano na ukiukwaji wa haki za

binadamu, haitoshi kulenga mtu mmoja pekee. Watu

huishi katika miundo ya kifamilia, kijumuia, kijamii,

kisiasa na kiuchumi na kila moja ina athari kwa

nyingine. Ubora wa maisha hupimwa kwa mambo

mengi na afya ni jambo muhimu. Afya yenyewe ni

wazo tata - tunazungumzia afya ya kimwili, kiakili au

ya kiroho Yanahusianaje haya Je, moja ni muhimu

kuliko jingine Mtu aliyepata kiwewe kwa vyovyote

atahitaji aina fulani ya msaada wa kitabibu na wa

kisaikolojia. Lakini yatosha kwenda tu kwa daktari na

kufungwa bendeji Inakuwaje unaporudi nyumbani

Unazungumzaje na majirani na marafiki ambao

wanaweza kuwa na hofu na woga wao wenyewe

Inakuwaje ikiwa utarudi katika jamii ukiwa na woga

tokana na ghasia na unyanyasaji unaoendelea

ambayo yana miiko mikubwa juu ya kuzungumzia juu

ya mambo fulani Je, unaweza kuwa na afya katika

mazingira magumu

Vinavyochangia afya kijamii ni hali ya kiuchumi na ya

kijamii ambazo watu huishi nazo, ambazo huchangia

katika afya zao. Kumekuwa na mijadala hivi karibuni

baina ya mamlaka mbalimbali ugani juu ya kuhusisha

rasmi vurugu kama kichangia afya cha kijamii

ambavyo kwa sasa hujumuisha:

• kutokuwepo kwa usawa wa kipato

• kuhusishwa na kutohusishwa kijamii

• dhamana ya ajira na kazi

• mazingira ya kufanyia kazi

• mchango wa uchumi wa kijamii

• huduma ya utotoni

• elimu

• dhamana ya chakula

• makazi

Ni wazi kuwa kuzungumzia mazingira ya kijamii

20

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!